Nimejichanga muda mrefu sana nichukue JBL FLIP 4 AU 5 nani ana used anipasie.

Phdum

JF-Expert Member
Apr 15, 2019
832
1,705
Wadau mimi ni mpenzi wa mziki na kabla mambo yangu ya kiuchumi hayajayumba nilikuwa namiliki HK ONYX STUDIO 7 bahati mbaya ilikuja kuungua. Sasa kutokana na uchumi wangu kuwa bahati nasibu nkajikuta nazielewa hizi jbl.
Wadau nahitaji mweny jbl flip 4 nimpe kidg hiki nilichonacho
N.b bajet ang ni 150,000
 
Back
Top Bottom