Nikifungua kanisa, hizi ndizo zitakuwa Amri zangu

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Feb 26, 2024
696
1,025
Bwana Ni Mwema Watu Wa Mungu!

Biashara ya dini kwa sasa ndiyo biashara inayolipa asikwambie mtu

Nimemshuhudia jamaa yangu kwa miaka 4 tu amepiga hatua kubwa sana
dogo alianza na mtaji wa watu wachache sana akisali chini ya mti wa mwembe baada ya miezi kadhaa watu {mtaji ukakua} wakaongezeka na yeye kufanya harambee.

harambee ilifanikiwa japo sio kivile na hivi ndivyo alivyo nunua

SPIKA KUBWA, VITI, MEZA, VYOMBO KADHAA VYA MZIKI NK. IKIWA PAMOJA NA KUONGEZA KIWANJA ZAIDI.

Hadi sasa jamaa anakanisa kajenga tiyari gari,nyumba,watoto wanasoma shule nzuri.

Mke wa jamaa anaishi maisha ya kimalikia maana kazi zote zinazompasa yeye anafanyiwa na kanisa na wengine hulala hapohapo ili waamke asbhi na mapema wafanye maombi. amenionyesha baadhi ya nyumba zake alizo jenga geita kahama na mwanza asee amenishawishi sana na hapo anawaza ajenge shule kabisa na wazo lake limeungwa mkono na washriki kwa 100%.

Kwa namna hii huenda nami siku za usoni nikafungua kanisa langu.

NA HIZI NDIZO ZITAKUWA AMRI ZA KANISA LANGU
1. Ujapo kanisani usije mikono mitupu
2. Usizini bali Oa mwanamke zaidi ya mmoja kama walivyofanya manabii na wazee wa imani.
3. Usinywe pombe kupita kiasi bali kunywa kistaarabu
4. Usithubutu kula fungu la kumi wala mzao wakwanza wa mifugo yako wala kwenye mazao ya nafaka[MALIMBUKO} zako,kwa maana tangu mwanzo bwana ali amru zije hekaruni mwake.
5. Usiuue
6. Usiibe
7. Usiende kwa mganga wa kienyeji.
8. Mwanamke ukimfumania piga chini mara moja.
9. Hudhuria ibada na maombi walau mara 4-6 kwa juma ukiwa na sadaka zako.
10. Nikifa mke wangu asiolewe bali aachwe aishi maisha matakatifu.

NB: KAMA UTAONA HAUKUFAI UZI HUU PITA KIMYA KIMYA KAMA UNAAGA MWILI WA MAREHEMU.
 
Bwana Ni Mwema Watu Wa Mungu!

Biashara ya dini kwa sasa ndiyo biashara inayolipa asikwambie mtu

Nimemshuhudia jamaa yangu kwa miaka 4 tu amepiga hatua kubwa sana
dogo alianza na mtaji wa watu wachache sana akisali chini ya mti wa mwembe baada ya miezi kadhaa watu {mtaji ukakua} wakaongezeka na yeye kufanya harambee.

harambee ilifanikiwa japo sio kivile na hivi ndivyo alivyo nunua

SPIKA KUBWA
VITI,MEZA
VYOMBO KADHAA VYA MZIKI NK
IKIWA PAMOJA NA KUONGEZA KIWANJA ZAIDI.

Hadi sasa jamaa anakanisa kajenga tiyari gari,nyumba,watoto wanasoma shule nzuri.
mke wa jamaa anaishi maisha ya kimalikia maana kazi zote zinazompasa yeye anafanyiwa na kanisa na wengine hulala hapohapo ili waamke asbhi na mapema wafanye maombi. amenionyesha baadhi ya nyumba zake alizo jenga geita kahama na mwanza asee amenishawishi sana na hapo anawaza ajenge shule kabisa na wazo lake limeungwa mkono na washriki kwa 100%

Kwa namna hii huenda nami siku za usoni nikafungua kanisa langu.

NA HIZI NDIZO ZITAKUWA AMRI ZA KANISA LANGU
1;Ujapo kanisani usije mikono mitupu
2;Usizini bali Oa mwanamke zaidi ya mmoja kama walivyofanya manabii na wazee wa imani.
3;usinywe pombe kupita kiasi bali kunywa kistaarabu
4;usithubutu kula fungu la kumi wala mzao wakwanza wa mifugo yako wala kwenye mazao ya nafaka[MALIMBUKO} zako,kwa maana tangu mwanzo bwana ali amru zije hekaruni mwake.
5;usiuue
6;usiibe
7;Usiende kwa mganga wa kienyeji.
8;Mwanamke ukimfumania piga chini mara moja.
9;Hudhuria ibada na maombi walau mara 4-6 kwa juma ukiwa na sadaka zako.
10;Nikifa mke wangu asiolewe bali aachwe aishi maisha matakatifu.

NB:KAMA UTAONA HAUKUFAI UZI HUU PITA KIMYA KIMYA KAMA UNAAGA MWILI WA MAREHEMU.
Sheria ya Ndoa ya Tanzania ya mwaka 1971 inatambua kuwa mkristo hawezi kuoa mke zaid ya mmoja kwa hiyo kanisa lako litakuwa linahubiri kinyume na sheria labda uanzishe dini yako tofauti
 
Bwana Ni Mwema Watu Wa Mungu!

Biashara ya dini kwa sasa ndiyo biashara inayolipa asikwambie mtu

Nimemshuhudia jamaa yangu kwa miaka 4 tu amepiga hatua kubwa sana
dogo alianza na mtaji wa watu wachache sana akisali chini ya mti wa mwembe baada ya miezi kadhaa watu {mtaji ukakua} wakaongezeka na yeye kufanya harambee.

harambee ilifanikiwa japo sio kivile na hivi ndivyo alivyo nunua

SPIKA KUBWA
VITI,MEZA
VYOMBO KADHAA VYA MZIKI NK
IKIWA PAMOJA NA KUONGEZA KIWANJA ZAIDI.

Hadi sasa jamaa anakanisa kajenga tiyari gari,nyumba,watoto wanasoma shule nzuri.
mke wa jamaa anaishi maisha ya kimalikia maana kazi zote zinazompasa yeye anafanyiwa na kanisa na wengine hulala hapohapo ili waamke asbhi na mapema wafanye maombi. amenionyesha baadhi ya nyumba zake alizo jenga geita kahama na mwanza asee amenishawishi sana na hapo anawaza ajenge shule kabisa na wazo lake limeungwa mkono na washriki kwa 100%

Kwa namna hii huenda nami siku za usoni nikafungua kanisa langu.

NA HIZI NDIZO ZITAKUWA AMRI ZA KANISA LANGU
1;Ujapo kanisani usije mikono mitupu
2;Usizini bali Oa mwanamke zaidi ya mmoja kama walivyofanya manabii na wazee wa imani.
3;usinywe pombe kupita kiasi bali kunywa kistaarabu
4;usithubutu kula fungu la kumi wala mzao wakwanza wa mifugo yako wala kwenye mazao ya nafaka[MALIMBUKO} zako,kwa maana tangu mwanzo bwana ali amru zije hekaruni mwake.
5;usiuue
6;usiibe
7;Usiende kwa mganga wa kienyeji.
8;Mwanamke ukimfumania piga chini mara moja.
9;Hudhuria ibada na maombi walau mara 4-6 kwa juma ukiwa na sadaka zako.
10;Nikifa mke wangu asiolewe bali aachwe aishi maisha matakatifu.

NB:KAMA UTAONA HAUKUFAI UZI HUU PITA KIMYA KIMYA KAMA UNAAGA MWILI WA MAREHEMU.
Tapeli na mwizi tu huyo mtumishi.
Ukianzisha kanisa lsko unipe laki kila nikija.
 
Back
Top Bottom