Nigeria ni nchi iliyogawanyika hamna uzalendo wa Igbo wanashabikia South Africa AFCON

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
14,309
30,929
Mzuka wanajamvi.

Nigeria is a divided nation. Yani hawa wa Igbo wanashabikia Bafanabafana dhidi ya timu yao ya taifa super Eagle.

Na wameshangilia kwa jazba south Africa waliposawazisha.

Mechi sasa hivi imeenda mda wa ziada baada ya kumalizika 1-1.

Kabila la Igbo wenyewe wanajiita Biafra hawapendi kujiita wanigeria.
 
Back
Top Bottom