Ni nani aliyemtuma Prof. Mruma (Geologist) kuiwakilisha Tanzania kwenye Mahakama ya ICSID?

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
13,349
22,130
Tanganyika kila kukicha tunaamka na aibu za kimataifa.

Bado tunaulizana ni nani aliuandika mkataba wa bandari na kusainiwa usiku bila kusomwa linaibuka lingine la kupigwa faini za mabilioni na kumtumwa Geologist kwenda kuwa wakili wa kuiwakilisha serikali.

Mfumo wa uongozi uliopo ni dhaifu kuanzia kuwaza, kufikiri, kiutendaji, kufuatilia na hauna Aibu.

9E0407DA-3A3F-4B7E-AE70-41648EC61618.jpeg

Mkuu huyu Professor Mruma ndiye alikuwa Waziri na ndiye alisaini mkataba huo kama leo unavyoshuhudia Waziri Makame Mbarawa anavyotetea mkataba aliousaini kijinga hivyo Professor Mruma ndiye mwenye dhamana ya kujibu sio mwingine maana alisaini kwa niaba ya Rais na Rais ameishkufa ulitaka abanwe nanai? Ata mawakili watagoma kwenda kutetea Mawaziri vilaza kama awa. Niambie ni wakili yupi atakubali kwenda kutetea mkataba TATA wa DPW na Tanzania miaka michache ijayo?

Tunaposema tunaongozwa na wajinga mtuelewe awa wanastahili kupigwa risasi hadhalani.
 
Kwa aina ya Elimu zetu, japo ni suala la sheria ila katumwa mtu wa miamba,

Usishangane, hata hiyo miamba , HAJUI CHOCHOTE, SANASANA ANAJUA KUPITIA SLIDES, NA KWENDA KUFUNDISHA UPUPU WANAFUNZI🤣🤣🤣 .

Embu Fikiria,

Tuna Kiongozi Mjinga, hata yeye anasema alisoma akafeli ,akafeli feli weeeee ila amekua kiongozi "hata Mimi wanangu sikufanya vizuri kidato Cha Nne 🤣🤣.

Huyo huyo kiongozi, anashauriwa na vichwa vya

Nape 🤣 , aliyeamua kwenda kuchukua degree India, Degree uchwara ya kubebwa......... ( Mwanangu Kasome chochote tu upate Degree uwe na sifa tukupe Uwaziri )

Makamba 🤣 huyu kajizi ka mitiani. ( Mwanangu soma chochote tuu, upate Degree, tukupe Uwaziri)

JK Msoga, huyu Hadi kufeli Kwa mwanawe akaamua badilisha Mfumo wa matokeo Kwa majina, yeye mwenyewe pale UDSM alipata ka GPA kaduchuuuuuuu ,kalikomfanya ashindwe Kusoma Masters yoyote ....... HUYU ALIUPATA URAIS ,KWA SABABU WANAWAKE WA CCM, WALIMPENDEA WEUPE WA RANGI, NA HUU NDIO UKWELI )!!.

mtaongezea wengine !!!!!!!!

Huyu wa Sasa ,ALIUPATA URAIS KWA SABABU NI MWANAMKE, WALA SIO UWEZO, NI KWA SABABU YA UANAMKE NA UZANZIBAR .

sasa Ndugu zangu, Hawa watu watatupeleka wapi???? 🤣🤣🤣

Tunaongozwa na wajinga sana, vilazaa, mbumbumbuuuuuuuuuuu wakutupwa !!.
 
Kwa aina ya Elimu zetu, japo ni suala la sheria ila katumwa mtu wa miamba,

Usishangane, hata hiyo miamba , HAJUI CHOCHOTE, SANASANA ANAJUA KUPITIA SLIDES, NA KWENDA KUFUNDISHA UPUPU WANAFUNZI
Nchi ngumu sana hii mkuu acha tukatafute ugali wa watoto.
 
Mkuu uyu Professor Mruma ndiye alikuwa Waziri na ndiye alisaini mkataba huo kama leo unavyoshuhudia Waziri Makame Mbarawa anavyotetea mkataba aliousaini kijinga hivyo Professor Mruma ndiye mwenye dhamana ya kujibu sio mwingine maana alisaini kwa niaba ya Rais na Rais ameishkufa ulitaka abanwe nanai? Ata mawakili watagoma kwenda kutetea Mawaziri vilaza kama awa. Niambie ni wakili yupi atakubali kwenda kutetea mkataba TATA wa DPW na Tanzania miaka michache ijayo?

Tunaposema tunaongozwa na wajinga mtuelewe awa wanastahili kupigwa risasi hadhalani.
Prof.Mruma toka lini aliwahi kuwa Waziri??
 
Ni Professorial rubbish alijisemea Lissu.

Iwapo tutaendelea kuisikamia CCM ituongoze kwenye mambo ya kisiasa na kitaalam tumekwisha.

Ma professor unakuta Ana uwezo na akili ya kufanya na kutenda kuingia CCM akili zinahama wanakuwa Zero.
 
Tanganyika kila kukicha tunaamka na aibu za kimataifa.

Bado tunaulizana ni nani aliuandika mkataba wa bandari na kusainiwa usiku bila kusomwa linaibuka lingine la kupigwa faini za mabilioni na kumtumwa Geologist kwenda kuwa wakili wa kuiwakilisha serikali.

Mfumo wa uongozi uliopo ni dhaifu kuanzia kuwaza, kufikiri, kiutendaji, kufuatilia na hauna Aibu.
View attachment 2698341
View attachment 2698342

Aibu hii jaman, tunazalilika, anauliza hii ndo wanasheria wako wamekutuma useme? Kwa nn hao wanasheria hawapo hapo.????
 
Tanganyika kila kukicha tunaamka na aibu za kimataifa.

Bado tunaulizana ni nani aliuandika mkataba wa bandari na kusainiwa usiku bila kusomwa linaibuka lingine la kupigwa faini za mabilioni na kumtumwa Geologist kwenda kuwa wakili wa kuiwakilisha serikali.

Mfumo wa uongozi uliopo ni dhaifu kuanzia kuwaza, kufikiri, kiutendaji, kufuatilia na hauna Aibu.
View attachment 2698341
View attachment 2698342
SAMIA
 
Jamani mpumzisheni basi,ahahaaaaa
 
Huyu alijitahidi, yule mwenzie alivyobanwa akasema Jana yake alikua na homa hivyo hakua amepata muda wa kusoma documents hahahahahaha as if hio document walipewa walivyofika hahahahhaahah hata Binti yangu asingeweza kujibu ujinga ule
 
Mkuu uyu Professor Mruma ndiye alikuwa Waziri na ndiye alisaini mkataba huo kama leo unavyoshuhudia Waziri Makame Mbarawa anavyotetea mkataba aliousaini kijinga hivyo Professor Mruma ndiye mwenye dhamana ya kujibu sio mwingine maana alisaini kwa niaba ya Rais na Rais ameishkufa ulitaka abanwe nanai? Ata mawakili watagoma kwenda kutetea Mawaziri vilaza kama awa. Niambie ni wakili yupi atakubali kwenda kutetea mkataba TATA wa DPW na Tanzania miaka michache ijayo?

Tunaposema tunaongozwa na wajinga mtuelewe awa wanastahili kupigwa risasi hadhalani.
Kama hujui kitu kaa Kimya.
 
Athari moja ya upumbavu ni kuhisi hata mpumbavu alierevuka kidogo kuwa ni genius.
Ni sawa unapomiliki baiskeli na kumuona mwenye pikipiki ni tajiri.

Kilichotokea kwa Mruma ni wapumbavu waliohisi ule Uprofesa wake ni werevu wa hali ya juu (kulinganisha na ujinga wao) na kumuona atafaa kuwakilisha kutokugundua huyo Mruma ni mpumbavu alierevuka kidogo baina ya wapumbavu zaidi.

Upumbavu unaanzia juu kabisa.
 
Back
Top Bottom