katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,122
- 5,718
Jamani kwa walioolewa ndoa zao zipoje? Mnashea mabwana kama mie? Unajisikiaje unamjua mchepuko wa mumeo na huna cha kumfanya?
Ni kazi sanaKazi kweli
Ticha,mamboKazi ni kazi kweli
.pole sana
Kwa wanaume wa hapa watakujibu hasi hasi hasi
Safi studentTicha,mambo
Pole sana sweetieJamani kwalioolewa ndoa zao zipoje?? Mnashea mabwana kama mie?? Unajisikiaje unamjua mchepuko wa mumeo na huna chakumfanya
Yaani awe nayo huko usijue, ika it hurts mtu anafanya mpaka anakuinyeshea, ni dharau za hali ya juuHiyo ndoa bado ila haya mahusiano tu nikijua ana mchepuko amekwisha. Huwa inakuwaje mpaka mwanaume anafikia kiburi cha aina hiyo?
Amekwisha nani Sasa, mchepuko au mumeo? Na kwisha huko unamfanyaje au unamuua? Na kama kuwamaliza utawaliza karibia woteHiyo ndoa bado ila haya mahusiano tu nikijua ana mchepuko amekwisha. Huwa inakuwaje mpaka mwanaume anafikia kiburi cha aina hiyo?
😃Safi student
Katika safari ya maisha kuna kujikwaa na kuacha njia iliyo nyooka.Jamani kwalioolewa ndoa zao zipoje?? Mnashea mabwana kama mie?? Unajisikiaje unamjua mchepuko wa mumeo na huna chakumfanya