Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 1,185
- 2,077
Nimeweka uzi huu kwa sababu nipo Ulaya na Ijumaa hii ya leo(22.12.2023) nimepewa tuzo ya utumishi bora katika kampuni ya Continentall hapa Ingolstadt Ujerumani.
Tanzania haithamini wasomi na wananchi wenye vipaji nilikuja Ujerumani March 2023 mwezi huu nimepewa tuzo, nimepandishwa cheo na nimepewa Holiday bonus. Bado mimi ni mwanafunzi nasoma Masters THI(Technische Hoschule Ingolstadt).
Aisee serikali ikitaka sisi tufike mbali inabidi wathamini watu wanaojituma. Wanaofaidi nchi kwa sasa na miaka ijayo ni mashabiki wa kisiasa na sio wanaojituma katika sekta au taaluma zao. Nchi haimthamini mtu anayejituma na anaekomaa na taaluma.
Siwezi kuandika sana sasa hivi ni saa 19:20 pm na huku Bavaria ndo sherehe ndo inaanza na ni Ijumaa.