Nasumbuliwa na magonjwa ya uzazi, kukosa ute, na hamu sijawahi pata wala sijui ladha yake

ryt

New Member
Apr 30, 2023
2
5
Habari jamani naomba msaada.

Mimi ni msichana nasumbuliwa na matatizo ya uzazi nimetumia Dawa nyingi za hospital lakini bila mafanikio na zamitishamba pia hakuna matokeo ila yanakujaga kidogo lakini tatizo linarudi pale pale.

Kiufupi sijawahi pata hamu ya tendo sijui inaradha gani, pia sijawahi pata ute nateseka sana hata nishikwe wapi, naombeni msaada anayejua Dawa ya uhakika nikapona jamani.
 
Nunua kY au kilainishi cha aina nyingine pharmacy,usitumie mafuta ya nazi au vasseline. Jambo lingine la msingi ni kuondoa mental block/kizuizi akilini,ukijiona wewe ni mgonjwa basi huwezi kupata matokeo chanya .

Kuna wanawake wa hiyo shida ya kukosa ute na wanafanya ngono kwa kutumia vilainishi bila shida. Kama una mpenzi/mume basi zungumza nae ili muweze kuikabili hiyo changamoto pamoja . Usikubali kufanya mapenzi wakati unaumia kwani itakufanya uichukie ngono kabisa.

Mwisho fanya majaribio ya kujiridhisha mwenyewe (masterbation) ili uweze kuujua mwili wako kingono. Hii ni muhimu sana japo watu wata kukaanga hapa,kama una hela jinunulie hata vibrator,Lube/Ky anza kujitafuta.

AChana na manabii feki utapoteza hela zako kwenye sadaka bila mafanikio,be positive nyege zako zipo under your fingertips 😊. Pole sana .
 
Khaaaaa!!! 😂😂😂
Hii kali aloooooh
 
Anza na kubadilisha mpangilio wako wa chakula, ingia garama ya tunda la parachichi kila unapokula, mboga aina ya mlenda kila mlo, ingawa mlenda unaandaliwa kwa vitu vingi ila isikikosekane bamia.
Lakini pia huya wa kukushika pengine hajapatika sahihi, kuna wa sahihi hata uwe mkavu kiasi gani akikugusa tu unalainika.

Mwisho kabisa heri usisumbukie hayo maana kufikishana maana baada ya kufuka maudhi na masumbufu ni mengi mno.
 
Habari jamani naomba msaada.

Mimi ni msichana nasumbuliwa na matatizo ya uzazi nimetumia Dawa nyingi za hospital lakini bila mafanikio na zamitishamba pia hakuna matokeo ila yanakujaga kidogo lakini tatizo linarudi pale pale.

Kiufupi sijawahi pata hamu ya tendo sijui inaradha gani, pia sijawahi pata ute nateseka sana hata nishikwe wapi, naombeni msaada anayejua Dawa ya uhakika nikapona jamani.
Cha kwanza kabla ya yote muone Therapist inaonekana kuna tatizo la misaikolojia
 
Back
Top Bottom