Napendekeza kuanzishwa mradi wa ‘Genomic Revitalisation’ kwa kanda maalum hapa nchini kwa ustawi wa jamii

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,352
41,255
Kwanza niseme tu, sijaribu kukosoa kazi ya uumbaji wala kuzodoa watu kwa jinsi walivyoumbwa, maana hakuna mtu aliyechagua mwili wake na kutia saini kabla ya kuzaliwa, bali najaribu kuona jinsi tunavyoweza kufanya ‘mitigation measure’ / (Damage control).

KAtika mradi huu, Ziainishwe kanda na mikoa mbali mbali hapa nchini yenye watu wenye ‘extreme genetic traits’ ambazo ni ‘undesirable’. Mfano:
  • Wafupi sana kupitiliza
  • Weusi sana kupitiliza
  • Weupe sana kupitiliza
  • Warefu sana kupitiliza
-Wamepigwa pasi sana kupitiliza
-Nywele vipilipili sana kupitiliza
-IQ ndogo sana kupitiliza
-Sura hazina mvuto kabisa
- Nk. nk

Sasa hapa, kuna mbinu huwa zinatumika kutatua matatizo kama haya kwa mtindo wa ‘Cross breeding’ ya mbegu bora toka eneo la nje na hapo, ili dilute yale makali ya vinasaba hivyo visivyotakiwa bila hata wao wenyewe kujijua. Mbinu zenyewe ni kama hizi

1.) Kuanzisha miradi mbali mbali ya uongo na kweli, halafu unaleta work force toka mbali na hapo yenye wafanyakazi wenye vinasaba (mbegu) bora, mfano warefu, weupe wastani, sura nzuri, figure namba 8, mlima kitonga nyuma nk., nk, halafu unauchelewesha mradi kwa makusudi, ili zile mbegu bora zianze ku ‘Cross breed’ na zile mbegu hafifu. Tusione haya kuagiza hata workforce toka Ethiopia, Somalia, Rwanda na kwingineko.

2.) Mbinu nyingine ni kutoa Scholar ship za uongo na kweli kwa wanafunzi toka hata Oman, Comoro, Carribean, Mauritius na nchi zingine zote zenye mbegu za udambwi udambwi, hii inawezekana kabisa, tumakwama wapi?

Haiwezekani hapa bongo kajitu kakiwa na dalili ya uchotara kidogo tu basi wanaume wote nchi nzima macho kwake tunamtolea udenda, kama kale ka-mke ka Manara kalikoachika, au kale kadangaji ka K-Lynn, huu uhaba tunajitakia wenyewe bhana, kwanini tunashindwa kufanya ujanja ujanja na sisi raia wabongo tujione tuko peponi?!

Kuna majitu yanasingizia yanaenda Sweden na Norway kisaka maisha kumbe ni tamaa za kingono tu, kama yule Hussein Machozi, tunateseka sana hapa bongo.

Nakunywa maji, naendelea

==========================
Update: 22/06/2023

Mbegu mpya toka Sudan zatua Muhimbili
 
Sawa tumekubali, lakini na sisi mababa marefu meusi yanayotoka bushi huko mmmmmmh! (samahani kama nimewakwaza)
Dawa ni cross breeding tu, tupate zao bora, hata tukiemda kushindani ‘Miss World’ au Kombe la Afrika la mpira tunakua na chamce nzuri ya kushimda, sio tunapeleke mbilikimo kila siku wanapigwa kanzu tu na Wanaijeria..
 
Kwanza niseme tu, sijaribu kukosoa kazi ya uumbaji wala kuzodoa watu kwa jinsi walivyoumbwa, maana hakuna mtu aliyechagua mwili wake na kutia saini kabla ya kuzaliwa, bali najaribu kuona jinsi tunavyoweza kufanya ‘mitigation measure’ / (Damage control).
Anzisha program ya gene editing, utaondoa zile ambazo huzipendi kwenye kila jamii.
 
Fanyeni crossbreeding mpate ata akili ukiachilia mbali shepu,mana pwani wanawake wengi wafupi shapeless mbaya zaidi mnazaliana hovyo hovyo tu.
Kuzaliana ndiyo akili na mpango mzima. Endeleeni nyinyi kupanga uzazi mukashirikiane na China na Japan.

Akili tunazo za kutosha hatutaki za watu wa bush
 
sijawahi kusikia serikali yo yote ikifanya hilo unalolisema, ukimwondoa Hitler
Wamarekani kupitia CIA wanaendesha mpango wa aina hii toka miaka ya 70 kupitia kile wanaita ‘Green card Lottery’, wanaingiza nchini kwao mbegu za watu wenye akili sana na sifa zinginezo..., mbaya zaidi wanafanya a very extreme secret project wanaita ‘EUGENICS’, ndio maana unaona Marekani wana genetic diversity kubwa, ni kujichagulia tu..
 
Lile linchi kubwa sana lazima genetic diversity itakuwa kubwa kwani makabila yote duniani utayakuta kule. Green card lottery washindi wake hakuna criteria kubwa kihivyo, wao wanaangalia manpower ambayo wataweza kufanya kazi na kuchangia kodi kwa ajili ya maendeleo (USA hakuna kukwepa kodi).

Lakini pia mbona wako vichaa wengi tu kule.
 
Inhind site kuna vya ziada wanaangalia
 
Back
Top Bottom