Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,487
- 2,350
Leo ktk kipindi cha ICU, Madaktari wa ICU walikuwa wamemtembelea Nabii Dominic. Ktk moja ya Maswali yao walimuuliza iwapo ana uwezo wa kumfufua mtu aliyekufa. JIBU alilowapa ni NDIO ninaweza kumfufua mtu aliyekufa na tayari nimewafufua watu 30. Nabii akaenda mbali zaidi akawaambia najua hata nyie Madaktari wa ICU hamuniamini kuwa naweza kufufua. Hivyo basi ili muamini kuwa ninaweza kufufua basi MMOJA wenu AFE.