DALALI MKUU
JF-Expert Member
- May 7, 2022
- 1,557
- 2,867
Ndugu Janabi amekua akitoa ushauri Tata kuhusu lishe,Hali iliyowafanya watanzania wengi kubaki njia panda.
Nataka niwaambie ndugu zangu watanzania Huyu Janabi sio wa kwanza, miaka ya nyuma Kuna mtu alijiita DR NDODI Huyu ndio alikuwa balaa alitoa vitisho vyake na kila Aina ya vyakula na vinywaji alisema vina sumu.
Huyu mwamba alitrend Sana wakati huo wapo radio walimpa airtime ya kutosha kumbe zilikua njaa zake akawapata wajinga akavuta mkwanja sahv anatibu matatizo ya nguvu za kiume.
Watanzania wengi maisha yetu ni mazoezi tosha huo ushauri akautoe kwa watumishi wanaoshinda kwenye kiyoyoz siku nzima na kuzungushwa na V8.
Sisi wengine tukipata muda wa kula, kula Komba kila kitu usichague chakula .
Ni hayo tu
UPADATE
Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku Musukuma na mbunge wa Hai, Saashisha Mafue wamesema hawana shaka na uwezo na ushauri unaotolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi kuhusu mambo ya lishe.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti wabunge hao, wamesema hofu yao ushauri unaotolewa na Janabi si wa kila Mtanzania, kwa kuwa inategemea mtu anafanya shughuli gani.
Wamesema kama kila mtu akiufuata ushauri huo wanaweza poteza nguvu kazi pamoja na kuwa na watu wenye utapiamlo.
View: https://www.instagram.com/reel/C68TPc2t3P1/