Mtandao wa Tigo kimeo sana

Mzee makoti

JF-Expert Member
Jul 27, 2016
2,770
3,300
Hivi kwanini mtandao wa Tigo kila siku tatizo la mtandao ni wao tu? Hapa nataka kufanya huduma ya tigo pesa inaniambia mtandao unasumbua, ina maana leo nalala giza.
 
Ivi kwann mtandao wa Tigo kila siku tatizo la mtandao ni wao tu? Hapa nataka kufanya huduma ya tigo pesa inaniambia mtandao unasumbua, inamaana leo nalala giza sasa kmme.

Mod; msihamishe aka kaThread kangu
use alternative networks plz plz 🐒
 
Ivi kwann mtandao wa Tigo kila siku tatizo la mtandao ni wao tu? Hapa nataka kufanya huduma ya tigo pesa inaniambia mtandao unasumbua, inamaana leo nalala giza sasa kmme.

Mod; msihamishe aka kaThread kangu
Kwamba bando bei juu na mtandao unasumbua 🤣🤣🤣
 
Mungu akusamehe kijana, unatumia tigo na unatangaza hadharani tena bila aibu?

Mungu akusamehe kabisaaa, ikiwezekana akuchukue ukaishi nae maana hapa duniani umetushinda.
 
Back
Top Bottom