Msaada namna na kuondoa watuamiaji kwenye router ya airtel 5G

Dannis

JF-Expert Member
Jan 21, 2016
1,594
1,673
Habari wakuu,
Nimenunua Router ya airtel 5G (smart box), nimejiunga kifurushi cha unlimited cha 110,000/- kwa mwezi, nimepata changamoto ambayo hata airtel wenyewe wameshindwa kunisaidia.

Nimeona kuna tatizo kwenye kifaa chao mfano nilimuunga rafiki yangu kwenye simu yake ya Samsung s20, chakushangaza kwenye simu yake kuna QR code inayomruhusu kushare wifi yangu kwa mtu mwingine bila kutumia password, naomba msaada jinsi ya kuzuia mtu kushare wifi.

Kila nikiangalia kwenye connect list naona kuna users zaidi ya 10, mimi binafsi natumia simu na laptop pekee, nahisi rafiki yangu ame share kwa watu mwengine.

naomba msaada wakuu ili niweze kuwaondoa au kuzuia hili tatizo, nimajaribu kubadilisha password lakini kila nikimpa password rafiki yangu nashangaa baada ya muda users wanaongezeka, binafsi huyu rafiki tunafanya nae biashara ni lazima akija ofisini kwangu atumie wifi yangu.
 
Ushajua yeye ndiye anayegawa password, kwanini unampa tena sasa
 
Uki login as Admin utaona kiwango cha user then chagua 2 ambapo itakuwa ni simu yako na hiyo laptop.
 
Habari wakuu,
Nimenunua Router ya airtel 5G (smart box), nimejiunga kifurushi cha unlimited cha 110,000/- kwa mwezi, nimepata changamoto ambayo hata airtel wenyewe wameshindwa kunisaidia.

Nimeona kuna tatizo kwenye kifaa chao mfano nilimuunga rafiki yangu kwenye simu yake ya Samsung s20, chakushangaza kwenye simu yake kuna QR code inayomruhusu kushare wifi yangu kwa mtu mwingine bila kutumia password, naomba msaada jinsi ya kuzuia mtu kushare wifi.

Kila nikiangalia kwenye connect list naona kuna users zaidi ya 10, mimi binafsi natumia simu na laptop pekee, nahisi rafiki yangu ame share kwa watu mwengine.

naomba msaada wakuu ili niweze kuwaondoa au kuzuia hili tatizo, nimajaribu kubadilisha password lakini kila nikimpa password rafiki yangu nashangaa baada ya muda users wanaongezeka, binafsi huyu rafiki tunafanya nae biashara ni lazima akija ofisini kwangu atumie wifi yangu.
Hilo ni tatzo na kulitatua ni kutompq password.
 
Back
Top Bottom