MATEMBEZI YA KUIMARISHA MUUNGANO, KUHAMASISHA UTALII WA NDANI NA KUPINGA VIASHIRIA VYA KUWAGAWA VIONGOZI WA KITAIFA
Kundi La JAMII MPYA TANZANIA likujumuisha wanachama wake zaidi ya 300 kutoka mikoa ya Tanzania Bara lafanya MATEMBEZI YA AMANI yenye jina la JAMII MPYA MUUNGANO TOUR kutoka Stesheni Posta kuelekea Bandarini tayari kuanza SAFARI kuelekea Zanzibar.
Matembezi hayo yalibeba Ujumbe wa kuimairisha Muungano, kuhamasisha utalii wa ndani na kupinga viasharia vya kuwagawa viongozi wetu wa kitaifa.
Aidha Matembezi haya yamelenga kuonyesha ni kwa kiasi Gani JAMII MPYA TANZANIA inaridhishwa na kuunga mkono mkakati wa maksudi wa Rais Samia Suluhu Hassan wa kuboresha uendeshaji wa Bandari zetu ili kuleta Tija kwa Taifa kuliko ilivyo kuwa hapo awali.