Mambo ya chama Kigamboni yanapelekea kufunga daraja kwa saa zima watu wasiende kazini

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,295
21,430
Ile kauli mbiu ya kazi iendelee iko wapi! Daraja linafungwa zaidi ya saa kwa mambo ya chama watu wanachelewa makazini!

Hivi tupo serious kweli hii nchi?

Wamekosa maeneo mengine ya kuwangia hadi wafanyie shughuli darajani? Wangetangaza mapema kama ilikuwa lazima iwe hivyo!
 
17153198857151512151857260221911.jpg
 
Ile kauli mbiu ya kazi iendelee iko wapi! Daraja linafungwa zaidi ya saa kwa mambo ya chama watu wanachelewa makazini!

Hivi tupo serious kweli hii nchi?

Wamekosa maeneo mengine ya kuwangia hadi wafanyie shughuli darajani? Wangetangaza mapema kama ilikuwa lazima iwe hivyo!
Unaandika kana kwamba sote tuko hapo...
 
Ile kauli mbiu ya kazi iendelee iko wapi! Daraja linafungwa zaidi ya saa kwa mambo ya chama watu wanachelewa makazini!

Hivi tupo serious kweli hii nchi?

Wamekosa maeneo mengine ya kuwangia hadi wafanyie shughuli darajani? Wangetangaza mapema kama ilikuwa lazima iwe hivyo!
Hadi Mimi nimeshangaa sana Leo wamezingua sana hao
 
Ile kauli mbiu ya kazi iendelee iko wapi! Daraja linafungwa zaidi ya saa kwa mambo ya chama watu wanachelewa makazini!

Hivi tupo serious kweli hii nchi?

Wamekosa maeneo mengine ya kuwangia hadi wafanyie shughuli darajani? Wangetangaza mapema kama ilikuwa lazima iwe hivyo!
zingatia sababu ya yote hayo sio kulaumu na kulalamika tu 🐒

lazima tuwe wazalendo na kuheshimu masula ya kitaifa. Ni muhimu sana hilo 🐒
 
Uzalendo ni kufunga njia ili watu wasifanye kazi? Umewaza watu walikuwa wanawah wapi
 
zingatia sababu ya yote hayo sio kulaumu na kulalamika tu 🐒

lazima tuwe wazalendo na kuheshimu masula ya kitaifa. Ni muhimu sana hilo 🐒
Mwenge? Mwenge unatembezwa na kuharibu kodi za wananchi halafu unafunga njia wananchi hao hao wasiende kuzalisha ili hio kodi ipatikane. Hebu kuweni serious msipoteze hela za wananchi kwa mambo ya yasiyo na msingi ya miaka 60 iliopita.
 
unaniuliza mimi tena 🐒

kama ni huo, ni vema ukapata heshima yake kizalendo....

hiyo ni miongoni mwa tunu muhimu sana za Taifa, ni lazima kwa umoja wetu kuzienzi na kuziheshimu sana 🐒
 
The world has moved on.
 
and as Tanzanians we are moving and transforming our beautiful country in a speed and standards that transpires each and every patriotic country mens and womens 🐒
What is MENS and WOMENS? OR you meant men and women?
 
Si tumeamua kuacha inchi mikononi mwa watu wendawazimu, haya ndio matokeo yake wacha ujinga utawale.
 
Back
Top Bottom