Mada yenye ukakasi: Wanawake wenye kinyama njia ya haja kubwa

Alikuwaga nacho wife nilijua ni uumbaji tu sikuzingatia ila ila kulikuwa na changamoto sana kifedha back then, kazi pia zilikuwa changamoto, mpaka mwenyewe akanambia hiyo siku nilikua nimekaa sielewi mawazo kibao akanipa nakuonea huruma sana babaangu au ni hiki kinyama kinasumbua maana nikisikia sehemu wakiongelea nikasema sijui ngoja nitauliza wakubwa, nilimpigia mama ni rafiki yangu sana nikamueleza scenario nzima akanambia hata yeye ashawah sikia hizo habari so inawezekana ikawa kweli, nikapata kikazi flani nikapata hela nikampeleka hospital kikatolewa, sasa hv nataman nipate hata wiki nipumzike na maokoto si haba maendeleo yanafanyika
 
.....nikapata kikazi flani nikapata hela nikampeleka hospital kikatolewa, sasa hv nataman nipate hata wiki nipumzike na maokoto si haba maendeleo yanafanyika...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuwiane radhi mno na isije kuchukuliwa kuwa naandika mambo yasiyofaa kwa kisingizio kuwa kuna watoto, lakini tukumbuke kuwa hii ni JF where we dare to talk openly!

Kila mtu ana changamoto nyingi katika maisha lakini zinapozidi kwa baadhi ya watu ujue kuna shida mahali...

Tumesikia mara nyingi kuwa kuna wanawake mlango wa nane! Yani ukiingia naye kwenye mahusiano kila kitu kinaparaganyika na kuandamwa na mikosi nuksi na balaa mpaka muachane

Sasa kuna hili la kinyama njia ya haja kubwa! Kinakuwa kama kimkia kidogo sana! Wanawake wenye hiki kinyama hawana bahati ya kudumu kwenye mahusiano. Ni watu wa kuumizwa na kutendwa kila mara! Furaha yao huwa ni ya muda mfupi tu na pale wanapojaribu kutafuta ufumbuzi kwa waganga hujikuta wameharibu kabisa kwa kubambwa na madawa hirizi nk na kuishia kuachwa kwa aibu.

Ni jambo la kushangaza kuwa kuna uhusiano gani kati ya kinyama husika na maisha ya mtu! Lakini hiyo ndio hali halisi.

Leo hakuna picha na naomba tusiulizane kuwa nimejuaje, wote hapa sisi ni watu wazima.

NB: Hiki si ugonjwa wala uvimbe kipo tu tangu kuzaliwa
Hicho kinyama huwa kinaondolewa hospitali,tena wala hakichubui muda mrefu sana kuondolewa.Lakini nikwambie kwa wale ambao kinyama ni maumbile yao,yaani sio ugonjwa kuna baadhi ya wanaume,kwao ni sehemu ya kichocheo cha sex
 
mh mi sijawai kukaona kiongozi kumbe kuna wanawake wanavimkia ....na je kama iko kamkia kako kwa mwanaume inakuaje ? Vice versa au? Au haipo kwa wanaume ?
kwa wanaume pia wana vinyama ambavyo ni ugonjwa ambavyo hutibiwa,lakini pia wengine wana vinyama ni maumbile tu
 
Hata mimi nimewahi kuvisikia. Wahenga wanaenda mbali zaidi kwa kusema kwamba, mwanamkea aliyenacho kinyama hicho hata akizaa watoto wanakufa. Tiba yake huwa ni kukikata hicho kinyama na tatizo na mikosi inakwisha.
hio ni hadithi tu
 
Back
Top Bottom