GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 57,115
- 110,509
Asante sana Mwenyezi Mungu kwa kuendelea Kutujibia Sisi tusio na lolote, uwezo wowote na tusio na baya kwa Mtu huku Wema wetu na Roho Nzuri zetu zikiwa ndizo Fimbo za Kutuchapia, Kutunyanyasa, Kututesea na Kutusimangia hapa duniani.
Kama kuna Mtu yoyote unajua fika kuwa kwa Makusudi au kwa Bahati Mbaya ulimkosea au Kumuumiza kwa namna yoyote ile Maishani mwake ( huku Yeye akiwa hana baya nawe, alikupenda, alikuheshimu na alikuamini ) basi Nabii na Mtume wa Mungu JamiiForums GENTAMYCINE nakuomba omba Kuonana nae na Mshike Mikono yake huku Ukimuangalia Machoni mwake na mwambie SAMAHANI KWA YOTE kisha muage kwa UNYEYEKEVU MKUBWA na ondoka zako.
Chezeni na Wote ila siyo Mungu Oky?