Kwanini ugonjwa wa Ebola huwa hauvuki mpaka wa DRC kuingia nchini?

Rabbon

JF-Expert Member
Apr 16, 2022
15,880
23,776
Salaam, shalom!!

Kama mada inavyojieleza, mwandishi angependa kupata majibu sahihi ya kisayansi, Kwanini ugonjwa huu wa kuambukiza huwa hauvuki mipaka japokuwa watu huvuka kuja Tanzania na kuingia DRC?

NB: Nia ya kuuliza swali hili ni njema, inalenga kujua jinsi Gani Tanzania ilivyobarikiwa( KIIMANI NA KIULINZI) Ili tuzidi kuwa Wazalendo, tuithamini na kuipenda na kujilinda Nchi yetu.

Karibuni Kwa majibu 🙏

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo Tanganyika

Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿

Amen.
 
Salaam, shalom!!

Kama mada inavyojieleza, mwandishi angependa kupata majibu sahihi ya kisayansi, Kwanini ugonjwa huu wa kuambukiza huwa hauvuki mipaka japokuwa watu huvuka kuja Tanzania na kuingia DRC?

Karibuni Kwa majibu🙏
kuna mengine serikali inafanya siri.sema tu unakuwa ufahamu yaliyomo.
kama mlivodanganywa na marehemu kuwa uviko-19 kaombea kwa mungu ukaondoka kipindi kile
 
Back
Top Bottom