Joram Mtanzania
Member
- Nov 13, 2020
- 9
- 3
Kitu kikubwa nilichogundua ni kuwa, Namna pekee ya Kuyaokoa mashirika ya serikali yanayo andamwa na hasara kubwa ni namna ya kupata waendeshaji wawajibikaji.
Imekuwa ni kawaida sana Kipindi hiki cha Uongozi wa Rais Samia Watu kubadilishiwa vitengo tu badala ya kuwajibishwa.
Utakuta Kiongozi kaharibu Tanesco afu kesho unamkuta ATCL, Hii inawafanya wasiogope chochote cha kupoteza maana hakuna uwajibishwaji.
Tukirudi enzi za utawala wa JPM Utagundua viongozi/Wafanyakazi wengi wa umma walikuwa na ile kitu ya kuwajibika sana maana utumbuliwaji ulikuwa nje nje. Hii iliwapa Hofu sana watumishi wa umma na kuwafanya wawajibike kweli kweli kulinda nafsi zao.
Hivyo basi namna pekee ya kuokoa hasara zisizo na ulazima kwa mashirika ya umma na kuyafanya yalete tija kwa maendeleo ya nchi yetu ni lazima tupate watumishi sahihi wanaoweza kulinda rasilimali za nchi vizuri, na hawa watapatikana kwa njia pekee ya uwajibishwaji pale inapotokea dosari na sio kuhamishwa Vitengo tu.