Kila ripoti ya CAG inapotolewa ubadhirifu wa pesa ni mkubwa lakini pesa hizo mtaani na kwenye mzunguko hakuna

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,759
9,038
Madudu na mawashawasha ya ripoti za CAG nyingi tunasikia ubazilifu mkubwa kila kona pesa ambazo zimetumika vibaya ila cha kushangaza huku mtaani hakuna mwenye pesa kwa wale mimi na wewe.

Kipindi cha jakaya angalau tumeona pesa ilikuwepo na maisha kwenye mzunguko ukilinganisha JPM na Samia.

Mwenye kujua ili.
 
madudu na mawashawasha ya ripoti za CAG nyingi tunasikia ubazilifu mkubwa kila kona pesa ambazo zimetumika vibaya ila cha kushangaza huku mtaani hakuna mwenye pesa kwa wale mimi na wewe.

kipindi cha jakaya angalau tumeona pesa ilikuwepo na maisha kwenye mzunguko ukilinganisha JPM na Samia.

mwenye kujua ili
Maana yake pesa wanapeleka cash bank za nje kuficha.
Ndio maana kuna scarcity ya dollars.
 
Hawa Jamaa wamejanjaruka skuizi hawamwagi fweza hadharani kama enzi za jei kei.
Nahisi wanafixed account samu wea uswizi wakati wakisikilizia na kuusoma upepo ,u know!?
 
Back
Top Bottom