Witch hunter
JF-Expert Member
- Nov 21, 2018
- 1,594
- 3,993
Inashangaza na inasikitisha kuona kijana ana miaka karibia 35 na hajawahi miliki hata gari la million nne, ukweli ni kwamba kwa dunia tuliyopo usafiri binafsi hauepukiki. Sijamaanisha ununue gari la hela nyingi Hapana, ila nunua hata ka spacio, au RAV4 old model, jamani kagari ka million 4 tu kama haka kangu, au kale ka Mr Bean kakushinde?
Ukiona umefikisha miaka 30 huna gari, ujue utaanza kupoteza interest ya kuwa nalo, kununua gari mapema, hii inakufanya uyafahamu vizuri magari hivyo hata ukija kuhitaji kununua gari kali ya kutembelea na familia yako unakuwa ni mwenyeji tu katika sekta hii. Ni kheri ufikishe miaka 30 hujaoa, kuliko kufikisha ukiwa huna usafiri private, Ndo naishia hapo. Ukweli mchungu.