Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana kwenye ofisi za Makao Makuu Mikocheni, Dar es Salaam

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
118,531
220,243
Taarifa yao iliyosambazwa na Mkurugenzi wa Itifaki, John Mrema hii hapa.

Screenshot_2024-05-09-21-12-52-1.png
 
Mkamtangulize Mungu katika vikao vyenu ili awapatie maarifa ,hekima na busara katika kila jambo litakalo kuwa mezani penu. Watanzania tunahitaji siasa safi,siasa za hoja ,ajenda ,sera na zenye kuliacha Taifa likiwa moja na siyo siasa za kutugawa watanzania. Au kuchochea machafuko na ubaguzi au kubaguana. Lazima tuhakikishe Bendera ya Taifa letu inapepea katika vifua vyetu mtanzania.
 
Hiyo nyumba ni mali ya Mbowe.

Sasa Lissu anaenda kufukuzwa uanachama
 
Hakikishen Lisu anafukuzwa Chamani kwa sbb amekichafua chama changu kwa kuweka siri zetu za Rushwa hadharani
Dogo, usidandie mambo usiyoyajua.

Rushwa ile ni ya ccm wanayojaribu kutumia kuvuruga chama kama walivyofanya kwenye vyama vingine, siyo ya Chadema.

Halafu usisahau, Rushwa na ccm ni kama samaki na maji..

Mkamtangulize Mungu katika vikao vyenu ili awapatie maarifa ,hekima na busara katika kila jambo litakalo kuwa mezani penu. Watanzania tunahitaji siasa safi,siasa za hoja ,ajenda ,sera na zenye kuliacha Taifa likiwa moja na siyo siasa za kutugawa watanzania. Au kuchochea machafuko na ubaguzi au kubaguana. Lazima tuhakikishe Bendera ya Taifa letu inapepea katika vifua vyetu mtanzania.
Kiongozi wao ni shetani hao siyo mungu. Rushwa mbaya sana. Unapokuwa na mwenyekiti mla rushwa halafu anajifanya kutumia chama kuhalarisha rushwa hapo ndiyo anaharibu
 
Back
Top Bottom