Kama pesa zinaibwa na mashirika yanaingia hasara kuna haja gani ya kuendelea kuangalia rundo la uzoefu?

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
6,499
8,491
Report za CAG zinatoka tunashuhudia hasara kwenye mashirika na pesa zinaibiwa.

Kuna haja gani ya kuendelea kuhitaji watu wenye uzoefu mkubwa kusimamia hayo mashirika?

Ndugu wanajamii forum hao watu wenye uzoefu tunaowatafuta uzoefu wao unafanya kazi gani?
 
Nchi yetu hii ni ngumu sana , pesa kama zinaibiwa mbona wahusika hawachukuliwi hatua kali, mtu anaamua kuvurunda akiamini sheria ya kumnyoosha haifanyi kazi. Ndo tatizo linapoanzia . Udhoefu si kitu
 
Nchi yetu hii ni ngumu sana , pesa kama zinaibiwa mbona wahusika hawachukuliwi hatua kali, mtu anaamua kuvurunda akiamini sheria ya kumnyoosha haifanyi kazi. Ndo tatizo linapoanzia . Udhoefu si kitu
Wachukuliwe hatua na nani.
 
Back
Top Bottom