7seven
JF-Expert Member
- Mar 27, 2022
- 3,669
- 7,666
Kwa jinsi ambavyo nimeshaona mauzauza hilo jambo siyo is kawaida.Halafu siku hizi Naona maajabu ya nyoka kuingia ndani yameongezeka, kuna watu wengine pia wameona matukio kama haya.
Hao nyoka wanaweza kuwa ni mizimu, majini wanaotumwa na wachawi ili kuja kuharibu maisha ya kiroho ya watu wa hapo nyumbani.
Sasa ashukuriwe Mungu mliweza kuwaona inaonekana mko vizuri kiroho,yaani mna macho ya kiroho; kama msingewaona ingeleta shida.
Mliwapunguza nguvu baada ya kuua mmoja, bado mmoja. Kwa kuwa huyo mmoja hamkumuua kimwili basi muueni katika maombi,huko aliko atajifia tu na waliomtuma watapata hasara,ndio maana huwa wanalalamika kuwa mmetuulia watu wetu na tumepata hasara kubwa sana,tumepata hasara kubwa.Watu wao (majini).
Watu waendao kwa waganga wa kienyeji huwa wanapew tahadhari kwamba siku mkiona nyoka ndani as rangi fulani msimsumbue muacheni ni mlinzi wenu huyo.Huyo nyoka ndio pepo,jini au mzimu katika umbo la nyoka.Kwa kuwa mlikuwa hamuwajui maana yake mlitumiwa. Sasa na nyinyi "send back to senders".
Tumieni Isaya 27:1-3.
Huyo Lewiathani,ndio hao nyoka,shetani. Sasa hivi ni moto kwa moto.Hakuna kuwapumzisha, hakuna kulala mpaka wasalimu amri,hatuna muda wa kucheka na shetani.

Nauliza mkuu 7Seven na Worker Water
Hili ni jambo lakawaida au sikitu chakawaida?. Hem fikiria uko ndani umekaa na mkewako wawili tuu. Alafu ghafla unaona nyoka wawili weusi wameongozana wanaingia ndani kwako,. Mmoja mbele mwengine nyuma. Je kama niwewe maamuzi gani ya ghafla ungeyachukua?
Hii imetokea kwa familia yangu mmoja aliweza kuuwawa ila mwengine alipotea haikujulikana amekimbilia wapi kutokana napurukushan umakin wakuwinda wote wawili kukosekana.
Hadi sasa familia yangu iko katika mgogoro mkubwa nikimaanisha Wazazi wangu nlipoambiwa jambo hili na mdogo wangu nimejaribu kulitafakar kwa kina ila hadi now sijapata jibu. Ila pia kabla ya tukio hilo familia ilikua na mgogoro wa shamba na familia jirani. Je mtazamapo kiroho mnaona nin????
Sent using Jamii Forums mobile