Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmoja wapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nn kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11Asbh. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua nakunywa maji na kwenda kukojoa tu mpaka kukuche!

Mimi nipo hapa nyuma yako nakuona tu unavyo kikojolesha kwenye tubelight.

Kumbe ndo ulivyoo. Jamani ID hizi za JF zinaficha mengi.

Samahani mkuu macho hayana panzia.
 
3a779369107828b3dcc4013c9e3fee27.jpg
 
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmoja wapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nn kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11Asbh. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua nakunywa maji na kwenda kukojoa tu mpaka kukuche!
Haya Wale wa swalaa swalaa
hamkeni mida imekaribia.
Wale wa matendo daima
tukamkemee shetani.

Na Wale wa team popoo wakiongozwa
Na
No Escape
twendeni tukanywe MAJI
TUKAKOJOE , turudi kupiga KAZI
 
Niko KIA VIP Lounge tokea saa3 nikitegemea mgeni saa5 lakini huwezi amini hii saa10 ndio anashuka. Kwa kifupi nimekesha nahesabu ndege bila kulala
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom