Huwa nashangaa sana CHADEMA kumuona Putin shujaa halafu wanamkandia Magufuli!

deblabant

JF-Expert Member
Oct 7, 2022
1,114
1,749
CHADEMA wao wanasema wanataka demokrasia wakati wa siasa lakini Bado wanamuona Putin kama mfano. Hii ni contradiction kabisa.

Ona anavyoua wapinzani wake. Ameua Navanyi Akiwa gerezani ili tu agombee peke yake. Karibu wapinzani wake wote kaau wote hata prigogzin kamuua.

Anataka kufia madarakani kama Mbowe. Putin hatukuja kuachia kiti kile and yet CHADEMA wanamuona kama hero.

CHADEMA saa nyingine huwa ni ama akili kisoda au hawajui wanataka nini.
 
Sio chadema tu na waafrica wengi sababu kuu ya kumpenda Putin ni kwasababu anapinga LGBT, lakini kuhusu mambo mengine hawaangalii jana naona wanaanza uchaguzi lakini kuna mpinzani wake mmoja nae anamsifia Rais wale wapinzani hasa wapo uhamishoni au wameuwawa ni full dictator kwa ufupi.
 
CHADEMA wao wanasema wanataka demokrasia wakati wa siasa lakini Bado wanamuona Putin kama mfano. Hii ni contradiction kabisa.

Ona anavyoua wapinzani wenzake. Ameua Navanyi Akiwa gerezani ili tu agombee peke yake. Karibu wapinzani wake wote kaau wote hata prigogzin kamuua.

Anataka kufia madarakani kama Mbowe. Putin hatukuja kuachia kiti kile and yet CHADEMA wanamuona kama hero.

CHADEMA saa nyingine huwa ni ama akili kisoda au hawajui wanataka nini.
CHADEMA wamesema wanampenda Putin wapi?

Huu ni msimamo rasmi wa chama au wanachama fulani tu?

Una ushahidi wa kuthibitisha madai yako?
 
Ikishakuwa wanachama wengi inakuwa CHADEMA tu.
 
Sio chadema tu na waafrica wengi sababu kuu ya kumpenda putin ni kwasababu anapinga Lgbt, lakini kuhusu mambo mengine hawaangalii jana naona wanaanza uchaguzi lakini kuna mpinazani wake mmoja nae anamsifia Rais wale wapinzani hasa wapo uhamishoni au wameuwawa ni full dictator kwa ufupi.
Waafrika wengi ni kama akili zao haziwatoshi, ni vigumu kuwaelewa, wako na contradictions nyingi sana. Wanamuhusudu Putin na Russia ila wanakimbilia kujazana West karibia kwa kila kitu!
 
CHADEMA wao wanasema wanataka demokrasia wakati wa siasa lakini Bado wanamuona Putin kama mfano. Hii ni contradiction kabisa.

Ona anavyoua wapinzani wenzake. Ameua Navanyi Akiwa gerezani ili tu agombee peke yake. Karibu wapinzani wake wote kaau wote hata prigogzin kamuua.

Anataka kufia madarakani kama Mbowe. Putin hatukuja kuachia kiti kile and yet CHADEMA wanamuona kama hero.

CHADEMA saa nyingine huwa ni ama akili kisoda au hawajui wanataka nini.
asie jua anachotaka ndivyo alivyo 🐒
 
Acha upumbavu mkuu,bila kutoa mada yenye jina la CHADEMA unaona kama unawashwa na mada yako haitapata wasomaji,weka hapa tamko RASMI kutoka CHADEMA la kum support Putin,kinyume cha hivyo wewe ni pumbavu
 
Mkuu labda unataka nikukamatie hao wanachedema pro-putin mitaani nikuletee.
Ungekuwa mtaani bongo ungeelewa, ni kundi kubwa sana.
Mimi nipo hapa kinondoni shamba,hilo kundi kubwa mbona silioni?naona tu poor of the poorest wanavyo pigana na maisha huku royal families wakiwa holiday Camps Bay
 
Kinondoni kuna mashamba?
 
Mkuu labda unataka nikukamatie hao wanachedema pro-putin mitaani nikuletee.
Ungekuwa mtaani bongo ungeelewa, ni kundi kubwa sana.
Mkuu,

Umeshindwa hata kuchukua video ya simu?

Watu hao wapo mitaani tu hapa JF hawapo? Inakuwaje CHADEMA weeengi wawe supporters wa Putin mitaani lakini JF hawapo?

Pia, mnatenganisha vipi CHADEMA chama na washabiki tu ambao pengine hata si wanachama na hatuna hata njia ya kujua kama ni CHADEMA au ni wachafuzi wa CHADEMA tu?
 
Back
Top Bottom