GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 57,115
- 110,509
Huenda Ijumaa ijayo kuelekea Jumamosi Usiku Afrika ikasimama kwa Mshangao mkubwa na Wanaochekwa Kuzimia kwa Furaha ya Kihistoria kutoka kwa Ardhi ya Farao ( Pharao )
Kati ya wale 48 wanaoenda Kuzuru Kaburi la Nelson Madiba Mandela nchini Afrika Kusini 30 ni Waganga wa Kienyeji na 18 ni Vibaka maarufu Manzese, Mwananyamala na Tondale hivyo GENTAMYCINE nawaonea mno Huruma Waafrika kwani Wataibiwa na hakuna Rangi wataacha Kuiona.