Haya, uzi tayari.Hauna hisia nae kwasababu una tamaa na una hulka ya Umalaya.
Jitu lenye tamaa ambalo lishakutana na wanawake wengi au wanaume wengi haliwezi kuwa na hisia kamwe zaidi ya kutamani na kutamani tena.
UZI TAYARI.
Nyuzi zako ukuwa very short and clear 💯Hauna hisia nae kwasababu una tamaa na una hulka ya Umalaya.
Jitu lenye tamaa ambalo lishakutana na wanawake wengi au wanaume wengi haliwezi kuwa na hisia kamwe zaidi ya kutamani na kutamani tena.
UZI TAYARI.
Uko sahihi kbsa na ndo kitu kinachonitesa mpaka sasa nisiwe na demu manake huko nyuma nimekula mbususu za wanawake +malaya si chini ya 150 so now kila demu namuona simple tu na kumkinai mapemaHauna hisia nae kwasababu una tamaa na una hulka ya kimalaya.
Jitu lenye tamaa ambalo lishakutana na wanawake wengi au wanaume wengi haliwezi kuwa na hisia kamwe zaidi ya kutamani na kutamani tena.
UZI TAYARI.
But nahisi ukianza kuoa, Kisha ukawa na mademu ni ngumu kumchoka mke wako, shida n kuanza mademu afu ujaoa. Hapo kuoa n ngumu sanaUko sahihi kbsa na ndo kitu kinachonitesa mpaka sasa nisiwe na demu manake huko nyuma nimekula mbususu za wanawake +malaya si chini ya 150 so now kila demu namuona simple tu na kumkinai mapema
Huyo anakuwa sio binadamu ni robot labdaKuacha Tamaa ndio suluhisho
I miss uNini kifanyike??
Umeandika kishabiki, huenda amekuambia hana hisia na wewe ndio unakuja kumalizia hasira zako humu.Hauna hisia nae kwasababu una tamaa na una hulka ya kimalaya.
Jitu lenye tamaa ambalo lishakutana na wanawake wengi au wanaume wengi haliwezi kuwa na hisia kamwe zaidi ya kutamani na kutamani tena.
UZI TAYARI.
Nakazia....Umeandika kishabiki, huenda amekuambia hana hisia na wewe ndio unakuja kumalizia hasira zako humu.
Sababu kubwa bi
1. Mfumo wa maisha ya wapenzi ndio huo unaondoa hisia
Unaishi na mtu Kila siku vurugu, visirani,chuki, hayupo romantic, hisia zinakujaje?
2. Pia kuna baadhi ya watu hawana hisia kwa sababu ya magonjwa mbalimbali pamoja
3. Umaskini/stress
Mtu kula yako, lala yako, vaa yako ni papatupapatu, Sasa hisia hizo zinatokea wapi?
Me too wii 😍😍I miss u
Nilikuwa nasubiri iyo chance WiiMe too wii 😍😍
Vipi uko poa?? Karibu bonyokwa kesho tusherehekee ufufuko wa Kristu na mmeo amerudi ufanye uje wii 😜