Hii Ndio Hali Halisi Ya Mkoa Wetu Wa Dar Sijuwi Kwenu Kukoje?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,381
33,230
HII NDIO HALI HALISI YA MKOA WETU WA DAR SIJUI HUKO KWENU.jpg
 
Dar mnawasindikiza wenzenu....ukweli mchungu mnaishi kwa taabu na shida nyingi ila kwa sa babu za kutala sifa mnavumilia.
10% ya wakazi wa dar night high class na middle class 85% ni Umasikini na malofa.
5% ni wageni wasiofahamika status zao.
 
Mkiambiwa mle mlo kamili hamtaki.

chunguza wote wenye huo ungonjwa kinga yao ya mwili ni dhaifu..... Na usafi kwao ni changamoto unaweza usinielewe ila kiufupi ni ugojwa wa uzembe.

Nina rafiki daktari kanishauri sana na akanifungua macho kwenye hilo kwahyo ndugu zangu tuwe makini na milo na mtindo wa maisha tujijali hasa kwenye ratiba ya usafi hata kama umeoga usiku piga mswaki nawa uso kwa sabuni kwa wenye ngozi kavu paka mafuta kidogo uso usipauke usiku.
 
Mkiambiwa mle mlo kamili hamtaki....
chunguza wote wenye huo ungonjwa kinga yao ya mwili ni dhaifu..... Na usafi kwao ni changamoto unaweza usinielewe ila kiufupi ni ugojwa wa uzembe.
Nina rafiki daktari kanishauri sana na akanifungua macho kwenye hilo kwahyo ndugu zangu tuwe makini na milo na mtindo wa maisha tujijali hasa kwenye ratiba ya usafi hata kama umeoga usiku piga mswaki nawa uso kwa sabuni kwa wenye ngozi kavu paka mafuta kidogo uso usipauke usiku

Mkuu, hapo kwenye kupaka mafuta, yaani kutwa nzima uso umelundikwa vipako na usiku pia?
 
Huu ugonjwa ni kama kifo hakijakupata leo kitakupata kesho.

Wote wanaonizunguka wameupata mmoja ndiyo ameanza leo nafikiri na mimi sina muda utanipata,kushikana mikono sidhani kama ni moja wapo wa njia ya kuambukizwa.
 
Mkuu, hapo kwenye kupaka mafuta, yaani kutwa nzima uso umelundikwa vipako na usiku pia?
Elewa point kwa wale wenye ngozi kavu unapaka mafuta kidogo tena ya mgando ila ukionaje sio lazima upake nimeongelea kwa wenye ngozi zao kavu ww usipake mkuu
 
Dar mnawasindikiza wenzenu....ukweli mchungu mnaishi kwa taabu na shida nyingi ila kwa sa babu za kutala sifa mnavumilia.
10% ya wakazi wa dar night high class na middle class 85% ni Umasikini na malofa.
5% ni wageni wasiofahamika status zao.
Tushauri tufanye nini maana wengine tumejikuta tu tumezaliwa dar
 
Dar mnawasindikiza wenzenu....ukweli mchungu mnaishi kwa taabu na shida nyingi ila kwa sa babu za kutala sifa mnavumilia.
10% ya wakazi wa dar night high class na middle class 85% ni Umasikini na malofa.
5% ni wageni wasiofahamika status zao.
Mkuu ulitaka watu wafanyaje ? Wengine ndio wamezaliwa hapo hapo hawajui sehemu nyingine hilo nalo ni kosa lao ? Kwanini mtu aone sifa kukaa dar ? Sijakuelewa mkuu
 
Back
Top Bottom