FT: Yanga 1 - 0 Coastal Union | NBC Premier League | Azam Complex | 27. 04. 2024

Naona kuna wapuuzi wanataka kusema refa kaipendelea Yanga kisa kutoa kadi nyekundu kwa coastal union.
Kadi nyekundu coastal union walistahili kwa beki wa mwisho kumvuta jezi Aziz Ki.
Kwa anayejua mpira na anayefahamu mpira ile kadi nyekundu ni ya halali.
Huwezi ukamvuta jezi mchezaji anaeenda kufunga halafu uachwe.

Ila hao simba walisahau walicheza na Mashujaa wakiwa pungufu uwanjani na wakashindwa kuwatoa katika kombe la shirikisho CRDB.
Walicheza nao kwa dk 48 mashujaa wakiwa pungufu
Ile card ilikuwa obvious sana jamaa alivuta kwa kunyonga kabisa
 
Simba haina tatizo la goalkeeper. Halafu si jambo jema kumuangalia mchezaji katika mechi chache na kutoa conclusion
Ata kama ni mechi moja ila huyo golikipa ni mzuri.Isingekua yeye coastal angelala nyingi sana.Una uhakika simba magolikeeper sio tatizo.au bado unamhesabu manula.?.Tunataka magolikeeper wenye ubora unaoshabihiana,sio namba moja akiwa majeruhi tunaanza degedege kama yanga walivyolalamika kukosekana kwa diara mechi za mwanzo club bingwa.
 
Back
Top Bottom