Nimeanza kuamini aisée,wanawake wakiwa maarufu ,pesa au mamlaka wana raise ego juu nakutaka kumzidi hata aliyewapa nafasi ya kuchanua.kuna maelezo ya kimantic katika maandiko kwann walizuia akina mama zetu wasiwe hata viongozi au kua nafasi za juukatika jamii.kwa upande wangu walikua sahihi sana.ningumu kwa mwanamke kua na either umaarufu,pesa au hata cheo akabaki kua calm and positive.lazima ataleta taharuki tu katika jamii.
 
Hamna mtu anayeweza muelewa Christina kwakuwa ukiitwa na Mungu Kuna vitu unatakiwa uache ..

Hata wanafunzi wa Yesu waliacha hata kazi wakamfuata Yesu...
Mambo ya Rohoni na mwilini ni tofauti kabisa...
Hamna mambo ya roho ni dust and dark spirit ndizo zinafanya kazi kwa kasi sana nowadays binti yangu.

Snake generation kinapundia meza miguu juu na kuweka chakula hapo, bila kupepesa macho tafuta andiko lolote linaloweza kumsapoti huyo mwenzako ili nikuunge mkono!.
 
halafu mimi kwenye hiyo comment yangu sikumuongelea shusho nilimquote huyo jamaa aliyesema wanawake hawaelewi purpose ya kilichowaleta duniani hapa
Kwani Shusho sio miongoni mwa hao wanawake mkuu?
 
Back to the theme of the thread, Shusho amemuacha mume wake kisa akatimize malengo yake. Je, amekuambia moja ya malengo hayo ni kukusanya sadaka ili apate fedha za kutunzaa familia? Kwamba mume wake wa zamani alikuwa hatimizi vizuri jukumu lake la kutunxa familia?
Soma tena hii comment yako
Kwani Shusho sio miongoni mwa hao wanawake mkuu?
Hayo uliyoyaandika kwenye comment yako niliyasema wapi
 
Soma tena hii comment yako

Hayo uliyoyaandika kwenye comment yako niliyasema wapi
Hii hapa comment yako #750 mkuu umeandika hivi:

"Hapana kulea watoto kunakomuhusu mke ni kwa hali na siyo kwa mali mwanaume ndio anatakiwa kulea watoto kwa mali, mkitaka wanawake waanze kulea watoto kwa both hali na mali basi na wanaume mkubali pia kulea watoto kwa both hali na mali, halafu mimi kwenye hiyo comment yangu sikumuongelea shusho nilimquote huyo jamaa aliyesema wanawake hawaelewi purpose ya kilichowaleta duniani hapa"
 
Mjomba hebu acha kujitoa ufahamu hiyo comment nimeiandika baada ya ile comment yako ya kwanza niliyoiquote hapo

Mwanzo wewe ulisema hivi nanukuu, "Back to the theme of the thread, Shusho amemuacha mume wake kisa akatimize malengo yake. Je, amekuambia moja ya malengo hayo ni kukusanya sadaka ili apate fedha za kutunzaa familia? Kwamba mume wake wa zamani alikuwa hatimizi vizuri jukumu lake la kutunxa familia?"

Mimi ndio nikakuambia kwamba kwenye hiyo comment yangu sijamuongelea shusho nilikuwa namjibu tu yule jamaa, hakuna mahali niliposema kwamba shusho alimuacha mume wake kwa lengo la kukusanya sadaka ili apate pesa za kutunza familia, sasa ni kipi kilichokufanya uniulize maswali kuhusu jambo ambalo sikuliandika
 
Sawa. Lakini comment yako ilikuwa too general mkuu.
 
Hamna mambo ya roho ni dust and dark spirit ndizo zinafanya kazi kwa kasi sana nowadays binti yangu.

Snake generation kinapundia meza miguu juu na kuweka chakula hapo, bila kupepesa macho tafuta andiko lolote linaloweza kumsapoti huyo mwenzako ili nikuunge mkono!.
Ndio maana Mungu alituonya tangu zamani tujihadhari na manabii wa uwongo. Hatujui muda halisi ambao hawa manabii wataanza kujitokeza lakini kuna uwezekano hawa ndio wenyewe wanaozungumzwa kwenye biblia. So, kila mtu achukue tahadhari kadri atakavyoweza.
 
Leteni namba zake nataka tufanye maombi na maombezi
Mume wake mpya (Diamond) atakubali kumuachia kweli mkuu? Kwa jinsi Mondi anavyopenda wanawake, sidhani kama hilo litawezekana.
 
Mwimbaji nguli wa nyimbo za injili ambaye kwa sasa amegeukia kazi ya uchungaji, mchungaji Christina Shusho, amesema aliamua kuachana na mume wake ili atimize ndoto zake. Haya sio maneno yangu bali amenukuliwa akitamka maneno hayo na mtandao wa "5newsTZ"

View attachment 2959387

"Kusema ule ukweli mimi niliondoka kwa mume wangu ili nianzishe kanisa langu, nilijiongeza ili ndoto zangu ziweze kutimia maana kama ningeendelea kuungana na mume wangu sehemu moja ningeendelea kudidimia. Siku hizi hakuna mambo ya mke na mume ni mwili mmoja!! hiyo haipo utapotea ndugu yangu, wewe na mume wako au na mke wako hamuwezi kuwa sawa, hiyo haipo kila mtu ana njia zake"

"Na mimi siogopi watu nasema ukweli, haya ninayoyasema ndiyo yapo kichwani kwangu, huyu ndio mimi, kwanini niendelee kudanganya watu. Kwanza mimi licha ya kuwa Mchungaji lakini sipendi watu waniite Mchungaji Christina Shusho, sipendi na sitaki"-Christina Shusho Mwimbaji nguli wa muziki wa Injili

MAONI YANGU
Mimi namuunga mkono mchungaji kwa asilimia 100 kwani mume sio ndugu yako bali ni kama rafiki mliyekutana ili kuunda familia. Ukiona mume/mke anasababisha malengo yako yasitimie, achana naye mara moja. Nawashauri wanaume msiwe vikwazo kwenye ndoto za wake zenu. Namtakia kila la kheri mchungaji Shusho kwenye kazi yake mpya ya kueneza injili ya Bwana. Mungu ambariki sana.
Ninyi wote ni mawakala wa Shetani/Ibilisi.Msiwapotoshe watu wa MUNGU ili mjipatie wafuasi.
 
Ana pepo la ngono linamchanganya!
 
Back
Top Bottom