Baada ya Utafiti wa Uongo kuwa Watanzania wana Furaha Afrika nzima, Mwanasaikolojia Nguli na Mwerevu apingana nao

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
57,115
110,509
"Ukweli ni kwamba siyo kwamba Watanzania wana Furaha bali wana Amani ambayo inapelekea Wao kuridhika haraka na kila Wanachokikuta na Wanachokipata kutokana na Umasikini wao Waliouzoea ila kiuhalisia wengi Wao wamekuwa Wakikereka na Maisha yao magumu yasiyo na Ufumbuzi hadi wameamua Kuyafurahia Kiunafiki ili mradi tu Maisha yaende / wasukume Maisha" amesema Mwanasaikolojia akihojiwa mubashara na BBC Dira ya Dunia jioni hii ya leo.

Nikiambiwa huyu Mwanasaikolojia kiasilia ni Mtu very Intelligent GENTAMYCINE wala sitochelewa Kuamini hilo, kwani hata Uchambuzi na Ufafanuzi wake hapa juu ya Utafiti huu wa Kupikwa ili Kumridhisha Mpuuzi, Mswahili na Mshamba fulani Barani Afrika ili kuutumia Kujisifia na Kuwahadaa Waafrika kwa mwaka 2025 umeenda Shule na Nimeupenda sana.
 
Back
Top Bottom