Azam TV yarudisha tena La Liga kuanzia msimu ujao

Teko Modise

JF-Expert Member
May 20, 2017
1,968
6,135
Kupitia ukurasa wao wa Instagram, AzamTv imetangaza kurusha tena ligi kuu ya Hispania ( La liga) kuanzia msimu ujao 2024/2025

Awali AzamTv walikuwa wanarusha ligi hiyo kabla ya kuachana nayo na kisha kurudia tena! Ikumbukwe AzamTv anarusha ligi ya Ufaransa, Saudi, Ujerumani, Tanzania na Kenya! Pamoja na michuano ya vilabu barani Afrika.

AzamTv wajitahidi warushe walau Europa League sasa maana Uefa Champions League pamoja na EPL ni ngumu kwao kwasasa!!
IMG_1243.jpeg
 
Nadhani mimi nilikuwa mmoja ya watu waliokerwa sana na kitendo cha hao Azam kushindwa kurusha tena mechi za Laliga.
 
Gharama za vifurushi itapanda au itabaki ilipo?
Ngoja tuone
 
Gharama za vifurushi zitakuwaje
Nadhani wataondoa league ya ufaransa maana Haina maana
Wabaki na
1.Nbc
2.Crdb
3.Cafcl
4.Cafcc
5.Afl
6.Germany
7.La Liga
8.bonanza la mapinduzi
9.waongeze na Europa
 
Back
Top Bottom