Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 943
- 4,458
Gwajima kanisani sijui anakaa muda gani toka aombe ubunge. Kila siku unaona anaambatana na vijana wale wale waumini wake kuzunguka mtaani na jogging. Mambo yamegoma amehamia kwenye mashindano ya rede huku akiacha shangingi na kutembelea bajaji za kukodi.
Hizi siasa zilipaswa kufanywa majimbo ambayo hakuna wasomi. Leo Kawe yenye wasomi wengi vile unapelekaje mashindano ya rede? Watu wanawaza wanaongezaje mitaji yao wewe unapeleka mashindano ya rede?
Wabunge kama hawa wanatakiwa waajiri wataalam wa kuwasaidia kuandika miradi na kuisimamia . Watu wa kawe siyo jobless ni watu wanahitaji miundombinu bora na huduma bora za kijamii.
Its like Mungu amemgeuzia kibao.