Search results

  1. Nokla

    Pasi Milioni atishia kumpeleka mahakamani Benchika

    Huyo pasi milioni ni mpumbavu, hao wachezaji wazee waliochoka ni Namungo au Majaliwa?
  2. Nokla

    Mawe kwenye figo

    Kunywa maji mengi sna kiasi kwamba hata ukimuweka chura tumboni anaweza kuishi. Mimi niliwahi kuwa na tatizo kama hilo ila nilipona kwa dozi ya vidonge vya mwezi 1 na unywaji wa maji mengi hadi vyura wakawa wakiniona wananishangalia njiani.
  3. Nokla

    Plot4Sale Nauza place yangu Heka 3 Heka moja laki 9.5

    Mkenge ipo katikati ya kijiji cha mwavi na fukayosi njia kuu ya kutoka bagamoyo kwenda msata. Wastani wa kilometa 35 kutoka bagamoyo mjini hadi hapo kwenye njia panda ya kwenda mkenge. Na panaumbali wa kilometa 10 kutoka main road hadi kijijini mkenge. Kwahiyo wape watu taarifa kamili ili mtu...
  4. Nokla

    Car4Sale HOWO SINO Truck linauzwa Dar es Salaam

    Sio kweli, wapo wafundi wanabahatisha na wapo wafundi wanakupa gerentii kwa aina flani ya ufundi. Kwasababu hapa issue ni overhaul sasa inawezekana yeye hajakutana na mafundi wazuri hajapata spare genuine ndio maana kaja na conclusion hiyo, sasa kama una idea tofauti tuletee na sio kutunanga ...
  5. Nokla

    Car4Sale HOWO SINO Truck linauzwa Dar es Salaam

    Kwani mkuu unaona howo ni nini kwani hadi unajimilikisha wewe hayo ma howo? Mtu ametoa hoja mpe fundi afanye overhaul apate gerentii..kwanini unaogopa na umesema zinakaa muda mrefu baada ya overhaul??
  6. Nokla

    Lijue Tatizo La Kutokwa Na Shahawa Kwenye Uume Wakati Wa Haja Ndogo/Baada Ya Haja Kubwa.

    Hii mimi ninanitokea sana hata nikikaa muda mrefu bila ya kukutana na shemeji yenu. Itokee bahati niote nimwage ama nijuchukulie sheria mkononi. Ila inatokea tu pindi upwiru ukiwa katika kiwango cha juu. Ila sijawahi kupata maumivu yoyote.
  7. Nokla

    Car4Sale HOWO SINO Truck linauzwa Dar es Salaam

    Mkuu kununua howo brand new au scania used P or R Series bora nini? Scania nakusudia zile 2005 to 2010 model?
  8. Nokla

    Hakuna umeme toka Asubuhi

    Huku bagamoyo kiwangwa umeme ulikatika jana saa3 asubuhi umerudi leo saa6 mchana
  9. Nokla

    Maandamano CHADEMA: Moshi kwafukuta, CHADEMA yazizima, kweli watu wamechoshwa na CCM na serikali yake

    Hiyo moshi yoote ni sawa na bunju tena bunju kubwa sana. Hakuna jipya
  10. Nokla

    Ukweli lazima usemwe Yanga SC iachane na kuingia mikataba ya udhamini ya kitoto maana ishakua taasisi kubwa Afrika

    Mashabiki wa yanga wapumbavu, hakuna hata mechi moja mliojaza uwanja kwa pesa zenu. Hata yanga day hamjazi wanja...hadi muweke viingilio bure alafu leo mnakuja kuponda udhamini na bado mnata timu ichukue makombe yote. Ovyo sana nyie
  11. Nokla

    Kocha wa Simba Benchikha awasilisha barua rasmi ya kuomba kuondoka mwishoni mwa msimu

    Unaambiwa wachezaji wa 5imba wana Vichwa vigumu mnoo kuelewa maelekezo ya mwalimu
  12. Nokla

    Kocha wa Simba Benchikha awasilisha barua rasmi ya kuomba kuondoka mwishoni mwa msimu

    Ndani ya misimu 3 simba imebadili makocha wangapi?
  13. Nokla

    Kocha wa Simba Benchikha awasilisha barua rasmi ya kuomba kuondoka mwishoni mwa msimu

    Matola hatoki pale yeye miaka yote yupo tu hana jipya
Back
Top Bottom