Search results

  1. GEMBESON

    Je, ni sahihi kumgeuza X wako kuwa rafiki yako kindakindaki?

    Utafiti uliofanywa na Oakland University unaeleza kwamba Watu wanaowageuza Wapenzi walioachana nao (Ma- EX) kuwa Marafiki zao wa karibu mara nyingi huwa na uwezekano mkubwa wa kuwa na matatizo ya afya akili. "Kuendelea kumkumbatia Ex na kumgeuza Rafiki yako wa karibu kunaweza kukufanya upate...
  2. GEMBESON

    Kuna mambo watu wanayapitia ili wengine wajifunze

    Nimeiona hii kitu mahali, inaweza kuwafunza wengine humu. Na. Irene Mbowe Wasichana mlio kwenye Ndoa natamani sana mambo yafuatayo muyaishi na kuyazingatia; Jitahidini kuwaheshimu waume zenu ili Ndoa ziwe na Amani na Furaha. Unajua wengi mnasemaga, ‘Maisha...
  3. GEMBESON

    CCM waanza vitisho kwa wanaokihama chama

    Jana kupitia taarifa ya habari ya ITV, Mhe. Godbless lema alimpokea rasmi CDM diwani aliyesepa CCM huko Mwanza, Pia alichukua nafasi hiyo kumtahadhalisha mkuu wa mkoa wa Arusha na wakubwa wengine waache vitisho kwa kina Millya na wana ccm wanaohamia CDM. Alitoa mkwara kuwa kama CCM ina polisi...
Back
Top Bottom