Search results

  1. Moshi25

    Huenda Karia kaamua kuiabisha ligi yetu

    Shida ni sisi wabongo kukubali kuburuzwa kila kitu na kina Karai, uwanja wa Sheikh Amri Abeid pitch ni mbaya mno inahitaji greda lisawazishe kisha zipandwe nyasi mpya au waweke carpet Arusha jiji zuri la wapenda soka wanashindwaje kuweka carpet , hata raia wakiambiwa na RC wachange pesa za...
  2. Moshi25

    Jinsi ya kupambana na ushoga kwa kutunga sheria kali zinazo zuia mavazi ya kike kuvaliwa na Wanaume na Wanaume kuigiza kama Wanawake

    Kuna msanii mkubwa kavaa mahereni makubwa kwenye tangazo hadi unasikia kutapika!
  3. Moshi25

    Sijawahi kuona Rais kama huyu tangu nchi yetu iumbwe

    Angekuwepo mwamba SGR Dar/Mwanza ingekuwa kazini mda huu na majizi ya milioni 19 Arusha yasingeiba. He was the best president for me. Huwa nikipita kamata naangalia kule juu treni inakopita ni ngumu kumchafua au kumdelete yule mzee, na ndege zake zinaruka na reli yake itakuwa mzigoni soon.
  4. Moshi25

    Serikali ina cheka na nyani: Wizi wa kimtandao Arusha inaelekea ni nchi nzima!

    Watu wanakwiba kwa miaka 60 ya uhuru, hao wa Chuga wana bahati mbaya tu kukamatwa. Majizi ni mengi nchi hii ambayo wala hayakamatwi. Ripoti ya CAG si imejaa majizi mbona yanadunda tu. Hizi ni kiki tu za jombaa.
  5. Moshi25

    MUHAS na CUHAS ndio vyuo bora pekee vya Afya Tanzania

    One difference that I noticed Ulaya vyuo vingi hakuna group presentation, mnadiscuss as group na kuandika individual paper na kupresent as an individual mbele ya darasa, unapigwa maswali hadi mbele huoni. Ukitoka hapo chuo umeiva everything you learn unaweza kuelezea kwa kichwa bila kushika...
  6. Moshi25

    Kafulila: Tangu Rais Samia aingie madarakani Uchumi wa Tanzania umekuwa kwa kasi, ni zaidi ya Jumla ya ukuaji wa Uchumi wa nchi za Kenya na Uganda

    Iwapo SGR itafika Mwanza na Kigoma, na mikoa isiyo na reli ikaunganishwa kwa reli na umeme ukawa haukatiki na ukawa wa kutosha kusupport viwanda nadhani mwaka 2030 ni mbali Tanzania itaipita Kenya kiuchumi kabla ya hapo. For now hizo ni projections tu sio uhalisia. Kinachowaua Kenya ni...
  7. Moshi25

    Naogopa ligi kutawaliwa na timu moja miaka sita/saba ijayo

    Mkuu Mpira unachezwa hadharani, hiyo imani yako potofu ndo itafanya simba ikose nafasi ya pili na kuangukia kucheza shirikisho mwakani. Simba ni mbovu sote tunaona ikicheza hovyo , hata Prison walijipigia, kagera na kmc wakapata droo, Mechi nyingi simba imebebwa sana hadi aibu mf Singida big...
  8. Moshi25

    Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

    Kibu aje Yanga itakuwa safi sana pale mbele
  9. Moshi25

    Mo Dewji nakuuliza nivujishe Siri ya Bilioni 20 ulikoiweka na sasa unajipatia Hela za bure bila wana Simba SC kujua au niuchune tuendele kuwa Mazuzu?

    Kuna stori zingine huwa analeta za kweli maana hata saa mbovu hupatia, one day alimponda sana dogo mzee wa my wetu akiwa bado Azam kuwa dogo hafai uto hata kwa kulumangia wakati no one knew nothing, second day dogo akatangazwa semaji la uto nikabaki mdomo wazi, na dogo huyu huyu ametangaza...
  10. Moshi25

    Mo Dewji nakuuliza nivujishe Siri ya Bilioni 20 ulikoiweka na sasa unajipatia Hela za bure bila wana Simba SC kujua au niuchune tuendele kuwa Mazuzu?

    Kuna taarifa zingine ni nyeti na za hatari sana zikivuja ni rahisi kumjua alievujisha, maana inategemea nani na nani wana access au codes, hapa Mkuu dawa ni kuuchuna tu mbumbumbu fc ibaki vile vile guvu moya nafasi ya tatu ligi kuu ikacheze ndondo cup mwakani na ndipo itaamka toka usingizini !
  11. Moshi25

    Ali Kamwe: Nileteni yule comedian wa Simba aje apate semina ya habari

    Timu ina jina kubwa ila matokeo yake ni mabovu, msemaji wake lazima aonekane katuni tu.
  12. Moshi25

    Baada Ya Yanga Kunyimwa Goli La Wazi Kabisa Dhidi Ya Mamelodi Na Refa Kukataa Kureview VAR Niliikosa Mantiki Ya Huu Mfumo. Mdau We Unasemaje

    Goli lililokataliwa la Yanga dhidi ya Mamelodi litabaki kwenye kumbukumbu kama ukatili kwenye soka, goli kama lile walifunga Tabora United dhidi ya Simba na kunyongwa na mshika kibendera. Ni muhimu kujikumbusha lile goli ili watu kufahamu kuwa Yanga ni klabu kubwa uwanjani kwasasa kwa...
  13. Moshi25

    Ahmed Ally ndiye mchawi namba moja Simba

    Ahmed Ally si tatizo Simba. Jamaa ni mfano wa kuigwa kwa wanaojifunza kazi ya usemaji wa timu. Anajua haswa kuhamasisha mashabiki kujaa uwanjani. Tatizo la Simba ni wachezaji kukosa philosophy , morali na kushindwa kucheza kwa fomesheni hivyo kupata matokeo mabovu. benchi la ufundi Simba...
  14. Moshi25

    Meneja wa Golikipa Aishi Manula amesema, Djigui Diarra ni Golikipa bora muda wote

    Diarra hana mpinzani bongo. Ni nguzo kubwa zaidi Yanga. Pia tunapata faida kama nchi magolikipa wazawa kujifunza kwake kama Msheri anakuja vizuri.
  15. Moshi25

    Video: Treni ya SGR yadaiwa kusimama baada ya kupata hitilafu eneo la Gongo la Mboto

    Huwa kuna tatizo la kawaida kipande flani cha reli kukosa umeme na treni ya umeme kusimama, hiyo ni hali ya kawaida sana kule developed countries. Japo kwa wenzetu mainjinia wao hutatua haraka.
  16. Moshi25

    Nape Nnauye: Hatukuwakatalia Starlink kufanya kazi Nchini, walikwama wenyewe

    Kuna vilaza wengi wana mamlaka makubwa nchi hii ndio maana hakuna chenye ufanisi. Binafsi sikubaliani na ujinga za namna hii
  17. Moshi25

    Waziri Bashe ni tishio kwa wasaka Urais 2030

    Bashe anafaa kuwa Rais baada ya Mama. Ukisikiliza interviews anazofanya utagundua anajua nini cha kufanya kuikwamua Tanzania yenye asilimia kubwa ya wakulima wadogo wadogo. Binafsi namuona Bashe akifika mbali kisiasa iwapo atasimama na anachokiamini. Tanzania ni shamba la bibi hakuna kabila...
  18. Moshi25

    Mashabiki Wenzangu wa MAN U,timu yetu Ina matatizo Gani??

    Kuna kitu cha siri anacho yule babu Fergie alikichomoa alipostaafu kufundisha Man Utd. Mpaka akirudishe klabuni ndio gari litawaka tena. Siri za timu anazo yule babu. Wakimuweka mtu kati atasema!
Back
Top Bottom