Search results

  1. singanojr

    Kwanini filamu za bongo hazina mvuto kama miaka ya nyuma wakati wa Kanumba?

    Wanyonge wanyongeni ila haki yao wapewe , Sababu ni miingiliano ya tamthilia za nje ya nchi kama Uturuki ,ufilipino na kwingineko zimefanya Tamthilia za Bongo zichuje hata Movie za Kinaijeria siku hizi zimekosa.mvuto sababu ni kuzidiwa na nchi zingine
  2. singanojr

    Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    Bibi anajua ana mjukuu kisoda[emoji23]
  3. singanojr

    Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    For VIP join watsapl group 0687151346
  4. singanojr

    Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    SHETANI RUDISHA AKILI ZETU MTINZI: SINGANOJR SEHEMU YA 45 ILIPOISHIA “Yulia ninachomaanisha usije ukaruhusu mawazo yako yakaenda mbali , nipo ndani ya kampuni ya Dosam kwa ajili ya kutengeneza pesa kama watu wa kawaida , mimi sio mtu ambae umekutana nae miaka saba iliopita” “Kama huo ndio...
  5. singanojr

    Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    SHETANI RUDISHA AKILI ZETU. MTUNZI: SINGANOJR. SEHEMU YA 43. Hamza aliwahi kutoka kazini kuliko kawaida ili kuwahi miadi na Prisila , mrembo huyo alikuwa ameshamtaarifu ni wapi amkute hivyo alisogea mpaka Mlimani City na ndani ya dakika tano tu kupita Prisila alitokea , siku hio alikuwa...
  6. singanojr

    Nimefanya maamuzi magumu naomba msaada hapa

    Kufuga ukiwa nyumba ya Kupanga ni ujasiri wa Aina yake aisee ,Ngoja Majasiri wenzako waje watatoa ushauri
  7. singanojr

    Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    Kaangalie nimeiweka
  8. singanojr

    Hivi mchina ana technolojia gani ya kumsinda Mmarekani?

    Biashara ni Vita mkuu , mfano;unadhani alieifungia Huawei Marekani ni wanasiasa pekee na watu wa usalama ? pale kulikuwa na mkono wa matajiri wakubwa , Huawei ilikuwa kampuni inayokuwa kwa kasi ya upepo wa kisulisuli na kuwa tishio kwa kampuni za Kimarekani na kilichofanyika ni kuikata miguu...
  9. singanojr

    Hivi mchina ana technolojia gani ya kumsinda Mmarekani?

    Wewe hayo mambo ya nchi umeyajua , umechukua hatua gani baada ya kujua? , Pathetic[emoji706]
  10. singanojr

    Hivi mchina ana technolojia gani ya kumsinda Mmarekani?

    Hakuna kisichowezekana Dunia hii
  11. singanojr

    Hivi mchina ana technolojia gani ya kumsinda Mmarekani?

    Ukishaelewa Biashara ni Vita mkuu umefanikiwa
  12. singanojr

    Hivi mchina ana technolojia gani ya kumsinda Mmarekani?

    Approach ya Vita miaka 50 na sasa hivi ni tofauti sana , ,teknolojia imepiga hatua , Vita za Enzi hizo zimekuwa historia katika vitabu na sio kwenye uwanja wa Vita Sasa hivi China kuwa na teknolonia kubwa kwenye Siraha imekuwa ni kama Uvumi tu kwasababu hatujaziona zikiwa zinafanya kazi, Ni...
  13. singanojr

    Hivi mchina ana technolojia gani ya kumsinda Mmarekani?

    Maeneo ambayo Mchina kaachwa mbali : 1.Semiconductor. 2.Software development 3.Biotechnology and Pharmaceutical: Mfano tu maswala ya Corona. 4.Aerospace : Hapa China anakuja kuja nyuma ya Mrusi, baba yake USA yuko mbele . Hivyo ni vipengele vichache tu upande wa Tech , twende kwenye...
  14. singanojr

    Hivi mchina ana technolojia gani ya kumsinda Mmarekani?

    Upo kishabiki sana mkuu impact ya hio Belt Road and initiatives ni ipi haswa , USA inalazimika kuziwekea baadhi ya kampuni za China kutokana na Sera za taifa ,China kampuni inaweza kuwa na nguvu lakini bado mambo yake mengi yanakuwa influenced na Serikali ,unadhani communist party ikiamua kutaka...
  15. singanojr

    Hivi mchina ana technolojia gani ya kumsinda Mmarekani?

    Mkuu unadhani mtu wa Low income wa leo ataendelea kuwa wa Low income miaka ijayo , ukimuona mtu kanunua kitu cha bei rahisi sio kwasababu anakipenda ila ni kwamba hela hana , siku akiwa nazo jua huyo sio mteja wako. Hio Mass production unayozungumzia ni kwa hapa Africa tu , ndio soko ambalo...
  16. singanojr

    Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    Naleta mwendekezo kulingana na Pace upande wa Grupu ili nisiwakatishe tamaa , Kesho mwendelezo
  17. singanojr

    Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    Upo sahihi mkuu , hii simulizi ina mambo mengi sana , hususani historical
Back
Top Bottom