Leta ushahidi,ukweli ni kwamba nyinyi mlichagua kusoma kiarabu na kwenda madrasa badala ya kusoma,matokeo yake mnatualamikia Kwa chaguzi yenu. Kwanini hamkumwambia aliyewaletea misikiti pia awaletee elimu Dunia?
Uongo,ukweli ni kwamba,wamissionari walijenga shule nyingi ila waarabu wakajenga misikiti na madrasa,waislamu wakakataa kujiunga kwenye shule za 'makafiri' wasije lishwa nguruwe matokeo yake wakristo wakawa wasomi kuliko waislamu.ndio maana hakuna shule iliyojengwa Wala wala chuo chochote na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.