Kuna ubishani mwingine huwa nauita wa kijinga, na huwa naishia kucheka tu. Tangu mwanzo niliamini muda utaongea huko tuendako nani ni mkali haswaa; Stephano Aziz-Ki au Chama?
Huu ubishani wa kipuuzi ni sawa na Ile wa Messi na Ronaldo tu. Yaani Chama mwenye kipaji chake na akili ya soka...
Kuna watu wamekuwa wakinong'ona kuwa Taifa letu limelogwa na hivyo tutahangaika sana kama taifa kujiletea maendeleo. Nilikuwa siamini ila sasa nimeanza kuamini. Kwanini?
Kuna mambo fulani yanayoendelea kwenye siasa,uchumi,jamii yanavunja moyo sana.Lakini huku kwenye soka ni kabisaaa..!
Kabla...
Hizi mbegu pamoja na majani,magome na mizizi ya mti wa Mlonge vimekuwa na faida nyingi za kiafya kwa watu.
Sasa kuna eneo moja huko mikoani nilikoenda kutembelea ndugu zangu nimekuta hiyo miti ipo mingi sana. Kwakuwa ni majira ya kiangazi,miti hii imepukutisha majani yake kama miti mingine...
Jana ameiangamiza timu yetu, jana ametuumiza Wanasimba. Na hii si mara yake ya kwanza kutufanyia hivi.
Wale Platinum FC kwa jinsi nilivyowaona si wakali sana wa kututisha (najua game ijayo tutapindua matokeo) ila game plan ya Mwalimu wetu na zile sub zake za hovyo ndo zilizotugharimu. Kulikuwa...
Ni dakika ya 51:03' hadi sasa, na matokeo ni 0 - 0.
Naona Yanga wanajitahidi ku-perform hapa, wamewazidi kiasi AFC (moja ya timu kubwa kwenye ukanda wa Afrika Mashariki). Yanga wameonyesha ku-improve kwenye mechi hii, tofauti na ile waliyocheza dhidi ya Polisi waliyolala 2 - 0. Pamoja na hayo...
Yanga walianza kufunga first half kupitia kwa Deus Kaseke, na baadaye kwenye dakika za lala salama (dk.94) Malindi wakasawazisha na hivyo mpira kuisha kwa magoli 1 - 1.
Niliyobaini kwenye mechi hii:
Kwanza;inaonyesha Yanga hawajajipanga kwa michuano mikubwa.Kwanini nasema...
Waimbaji wa kwaya hii walikuwa wanaimba nyimbo za Kiswahili.Wengi wa o walikuwa wazungu(kutoka Sweden) na wabongo wachache.Ilikuwa na nyimbo murua sana.
Baadhi ya nyimbo zao ni kama;Roho Mtakatifu,Nimeshinda,Yesu Anaokoa,n.k
Mfano wa mashairi kwenye wimbo huo wa Roho Mtakatifu ni...
Hadi dakika ya 60' matokeo yalikuwa Ndanda 1 - 0 Yanga.
Dakika ya 61' Jaffary Mohammed akaisawazishia Yanga,na matokeo kuwa Ndanda 1 - 1 Yanga.
Nilichojifunza:
Yanga wanakuwa obsessed sana na mechi za kimataifa za Simba,kuliko Simba wenyewe.
Kama hujanielewa ni hivi;Inapotokea Yanga...
Zingatia:Kabla sijaenda mbali zingatia hili-katika mara zote walizokutana Simba SC haijawahi kuifunga Nkana au kutoa droo pale Kitwe,Zambia.Halikadhalika NKANA HAIJAWAHI KUIFUNGA au KUTOA DROO NA SIMBA HAPA NYUMBANI,TANZANIA.Nkana amekuwa akisonga mbele kutokana na kufunga magoli mengi akiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.