Kama Arusha ni salama kama inavyosema, iweje Makonda atoe kauli kama hii?Makonda: Watalii hawaji Arusha kulala wanakuja kula starehe, ni lazima Arusha iwe salama saa 24. Hao wadudu nitaongea nao
We mpuuzi, Geita kuna vibaka na wezi kama Arusha? Changamoto ya Geita ni watu kuuana (kwa mapanga,n.k) kwa Imani za kishirikina ila hawaui wala kusumbua wageni, wanashughulikiana wao kwa wao. Arusha is a hooligan city. Hovyo kabisa!
Ni aibu kwa Rais kupandishwa kwenye ndege mkweche kama ule. Rais wetu SSH wa nchi yetu masikini hatuwezi kumpandisha kwenye scraper kama lile. Wavaa kobazi hawajawahi kuwa na akili.😆🤣
Kwamba Rais wa taifa kubwa kama Iran amekufa kwa ukungu? Siamini kabisa. Nadhani mamlaka za Iran kuna kitu zinaficha.
1.Ndege zilikuwa 3 ila ukungu umeiathiri ndege iliyombeba Rais pekee. Hizo zingine ni weather proof kuzidi ndege ya Rais?
2.Ikawaje kikosi Cha usalama wa Rais kikaruhusu ndege...
Nilistaajabishwa sana na kitendo cha Israel kuamua kukaa kimya baada ya Iran kurusha vikombora vyake dhidi ya Israel (vilivyoishia kuzimwa angani).
Ila baadae likanijia wazo. Kuna kitu kizito Israel inaandaa dhidi ya Iran, maana si rahisi uishambulie vile Israel halafu isijibu mapigo kwa...
We jamaa sema huu uzi umeuandika kwa lengo lile lile, ambalo limekuwa common mitandaoni, la kuwadhalilisha Walimu.
Nimesoma na kuhitimisha kuwa wewe ni mpuuzi kama wapuuzi wengine tu, kwasababu zifuatazo;
1.Ni ofisi ipi hapa nchini ambayo Umewahi kupewa huduma (hasa wakigundua una uhitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.