Tunatafuta vijana waaminifu na wachapakazi ambao watakuwa tayari kufanya kazi Dar es Salaam, Dodoma na Arusha.
Ambaye yupo tayari kufanya kazi kwenye timu yetu ya Sales and Marketing anakaribishwa kutuma maombi.
Vigezo:
Awe na umri usiozidi miaka 34.
Awe na uwezo wa kuongea na kuandika lugha...
Aslay mwaka ulioisha haukuwa mzuri sana kwake, ni kama amefika sehemu amegota aendi mbele wala harudi nyuma. Akijipanga upya akubali kupinduka kidogo atatisha sana next year.
Mwaka 2018 ndio unaishia hivyo na kwenye kiwanda cha burudani haswa bongofleva tumeshuudia mengi yakukumbukwa.
Kikubwa zaidi ni msanii Harmonize kufanya maajabu na singo yake KwaNgwaru, hakuna atakaebisha Kwangwaru imekuwa ni wimbo bora kabisa kwa Tanzania na East Africa na Harmonize amegeuka...
Kwa wasiomfahamu Marombosso ni kijana hapo kwenye video, ambae alikuwa miongoni mwa wanaounda Yamoto band.
Kwa sasa ametoka kupitia WCB.
Wakati yupo Yamoto walikuwa wanachuana vikali na Aslay na inasemekana ni moja ya sababu kundi kuvunjika ni hivi vipaji viwili.
Kwa kutazama muono wa mbali...
Walk on water kwa mara ya kwanza inawakutanisha Eminem na Beyonce kwenye wimbo.
Kinanda kinachosikika amepiga Skyler Grey singer na songwriter ambaye pia aliandika chorus ya love the way you lie
Tuongelee kidogo album ya sasa ya Jay Z iitwayo 4:44
Ambayo P Diddy anasema ni moja kati ya album bora kwenye hiphop.
P Diddy amesema “4:44 ni zaidi ya album,Ni wajibu wa msanii Kuonyesha umekua,4:44 ina fikra tofauti na mabadiliko ya jinsi tunavyo fikiria,Jay Z anaushawishi mkubwa kwangu na...
Alichofanya J moe ni trap na trap zinapita kwenye njia inayofanana..Sioni kama amekosea sababu naona marapa wengi wametumia mtindo huo tofauti na tulivyowazoea na wamefanya vema mfano Songa na Zaiid Mnete.
Nina muda mrefu sana sijasikia wimbo ukanisisimua toka kwenu wasanii wa bongofleva.
Nyimbo karibu zote za sasa naishia kuzipenda baada ya kuzizoea zikishapigwa mara nyingi lakini haziingii mpaka damuni.
Kimewakuta nini wasanii wa bongofleva? Mmeishiwa tungo? Au ndio muziki wa biashara kama...
Kama tunavyojua muziki ni kama mbio za kupokezana vijiti.
Muziki wa rap kwa kipindi cha mwaka na ushee umekuwa ni wa Darasa baada ya kuupokea kwa Nay wa Mitego aliyepokea nae kijiti kwa Chidi Benz.
Kwa sasa ni rasmi baada ya ujio mpya wa Darasa na ujio mpya wa Songa, ni kwamba kijiti cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.