Search results

  1. beefinjector

    Tujikumbushie One hit wonders wa Bongo

    Dah! Watu wagumu kuelewa asee.
  2. beefinjector

    Tujikumbushie One hit wonders wa Bongo

    Unaelewa kinachozungumzwa au unadandia tu? Soggy Doggy na Mad Ice ni one hit wonders?
  3. beefinjector

    Donald Trump apatikana na hatia ya makosa yote 34 katika kesi ya kughushi nyaraka na kutaka kuficha kuhusu hela alizomlipa pornstar ili akae kimya

    Of course being a wacko is not a crime but what Trump did during his tenure must have anybody who cares about America to be shaken in their boots. And the truth is that America has enough stupid people who can vote Trump back in the office. I didn't say I don't want Trump. I have no dog in...
  4. beefinjector

    Donald Trump apatikana na hatia ya makosa yote 34 katika kesi ya kughushi nyaraka na kutaka kuficha kuhusu hela alizomlipa pornstar ili akae kimya

    Trump hakushitakiwa kwa kukopa ngono wala kuhonga. Marekani kuhonga sio kosa. Kashitakiwa kwa kughushi nyaraka za biashara ili ionyeshe kwamba hizo hela alizitumia kibiashara na sio kuhonga.
  5. beefinjector

    Donald Trump apatikana na hatia ya makosa yote 34 katika kesi ya kughushi nyaraka na kutaka kuficha kuhusu hela alizomlipa pornstar ili akae kimya

    Kuficha sio ishu. Alichoshitakiwa Trump ni kughushi nyaraka za biashara, which is a felony. Kwa kumwambia Michael Cohen amlipe Stormy kisha yeye kum-refund Cohen halafu kuripoti malipo hayo kama business expense ndio kosa.
  6. beefinjector

    Donald Trump apatikana na hatia ya makosa yote 34 katika kesi ya kughushi nyaraka na kutaka kuficha kuhusu hela alizomlipa pornstar ili akae kimya

    I agree with you that it seems there are some forces behind Trump legal troubles, from both parties I might add. Although the indictments seems to be legit, the timing is suspect. But we can agree that Trump is a wacko, as we saw last time he was in charge. Maybe some people feel that he has to...
  7. beefinjector

    Na hii ndio tofauti ya klabu bingwa na kombe la shirikisho

    Wale wa luzaz kapu tuonane!
  8. beefinjector

    Norway imesema Itamkamata Netanyahu na waziri wake Gallant

    Yeah right. Like Netanyahu and the other guy will be going to Norway anytime soon.
  9. beefinjector

    Uwezo wa wachezaji wa zamani, sijapata kuona kwa sasa

    You must be delusional.
  10. beefinjector

    Wachezaji hawa wa Ihefu wanastahili kuchezea Simba bila maswali

    Wako nafasi ya ngapi kwenye ligi?
  11. beefinjector

    Tujikumbushe Big Dogg Pose (BDP Kamili)

    Alisema "Hata Amit anajua..." Alikuwa anampa shout out Amit Mental, producer wa wimbo.
  12. beefinjector

    Tujikumbushe Big Dogg Pose (BDP Kamili)

    Beat ya Mdosi Amit Mental, sio Enrico.
  13. beefinjector

    Mikoa 10 bora ya kuishi Tanzania

    Asante Mkuu kwa info. Mi nilikuwa naifikiria Njombe mjini.
  14. beefinjector

    Joseph Musukuma: Wazungu wanatuwekea ushoga kwenye chanjo; haiwezekani binti wa miaka 10 avae sidiria

    Mnakula vyakula vya hovyo halafu mnasingizia wazungu. Akili mbovu kabisa!
  15. beefinjector

    Mikoa 10 bora ya kuishi Tanzania

    Njombe haijazungukwa na safu za milima.
  16. beefinjector

    Nani bado anabisha kuhusu S2KIZZY kuwa ndio producer namba moja Tanzania?

    Kwa logic yako, ina maana aliyetengeneza Gangnam Style na Baby Got Back ndio producers bora kuliko wote duniani. Hizo nyimbo zina billions of views na streams. By the way, kwa nini nguvu kubwa zinatumika kulazimisha kwamba huyo dogo ndio the best? Kama anatoa hits watu wata-recognize tu...
  17. beefinjector

    Oya masela, P. Funk yulee amerudi!

    Una uhakika na unachoongea? Hebu taja beats hata mbili ambazo kwako ni mbovu.
Back
Top Bottom