Baada ya aliyekuwa Rais wa Zimbabwe Marehemu Mugabe kuwapora Walowezi wa Kizungu na ambao walikuwa raia wa Zimbabwe wenye Asili ya Uingereza,hatimaye Serikali imetangaza kuanza kuwalipa mabilioni...
Hii...kwakweli ni AIBU Sana na tuna create taifa masikini na OMBA OMBA pale ambapo katika Population ya watu milioni 61 wanaolipa kodi ni ni milioni 3 tu.
Unajua hadi inatia woga hata kule...
Wanaume wengi na vijana wengi wa humu hawana pesa ndefu wala michongo ya kueleweka kama wanawake ndo maana wanaume wa humu wamejaa makasiriko.
Kila uzi wanawake, mara singo mom jamani tafuteni...
ni vizuri zaidi kumshukuru na kumuomba Mungu kila wakati, bila kuchoka wala kukata tamaa.
sio tabia njema wala sio tabia nzuri kujenga mazingira au hali ya huruma na kuombaomba kwa wanyonge ambao...
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika hapo juu.
Nauliza hivi zile chopa mbili za Ulinzi zilizokuwa kwenye msafara na chopa ya Rais wa Iran iliyoanguka
Ziko wapi?
Zilifika salama...
Huu uzi umejikita kiinteligensia, facts na uchambuzi wa evidences zaidi ya ushabiki wa ule uzi mwingine.
Eti nini? Eti hali mbaya ya nini? LIKO WAZI CHOPA YA KIONGOZI WA IRAN imeshushwa kwa space...
Peace,
Yani helcopter 3 zinasafiri katika ukungu ulioripotiwa na wataalamu wa anga na aviation kua "dhaifu na wa kawaida" alafu 1 kati ya chopa 3 inaanguka. Na tena inayoanguka ni "chopa ya rais"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.