Recent content by wadzelino

  1. wadzelino

    Yanga acheni Ushamba, barua mliyoandika ni ishara ya kukosa ukomavu

    Kesi dhidi ya Morrison walishinda?
  2. wadzelino

    Nafasi za kazi: Walimu wa English kufundisha "twisheni" watoto wa shule za kayumba

    0629791787, Wilaya Ilala, Kata Kimanga. Sent from my LDN-L21 using JamiiForums mobile app
  3. wadzelino

    Wakuu, mke wangu nimemchoka

    I can feel what you are going through, mimi mmoja wao, sasa Nishachagua kujipa furaha mwenyewe, Wanaume huruma huwa zinatuponza sana, anyway, "maisha yenyewe mafupi haya" If your wife can't change, change a wife" Sent from my LDN-L21 using JamiiForums mobile app
  4. wadzelino

    Wakuu, mke wangu nimemchoka

    Asee, me nakuunga mkono, sina tofauti na wewe, nilishaona kwa style hii hakuna balance, kama kila jambo lazima nianze mimi, manake ni utumwa wa ndoa, thanks God sikufunga ndoa, sasa nimeamua hivi: 1.nasubiri wanangu waongezeke umri 2.Ama nitaoa tena BAADAE, au sitaoa kabisa NB:Najua madhara ya...
  5. wadzelino

    Kuna wanawake kweli pasua kichwa aisee, dah balaa

    Japo ubaba uliozidi ni ubabe, naishi kikatili, nafuata utaratibu wangu binafsi, haendani na aende Sent from my LDN-L21 using JamiiForums mobile app
  6. wadzelino

    Mahusiano na wanaume watu wazima wenye watoto ni kazi sana

    "bora kuwa single but used" Sent from my LDN-L21 using JamiiForums mobile app
  7. wadzelino

    Nina wasiwasi kwa Yanga kuchukua ubingwa

    Kumbuka una mechi 2 kule kwenye majaruba ya mpunga, ambako Ihefu alikutemesha "bungo"
  8. wadzelino

    Nina wasiwasi kwa Yanga kuchukua ubingwa

    Uzuri "BM" alishawambia, Chuo cha mpira kiko wapi, nadhani bado una maumivu, Aliyekua kupoteza na kupata ni kawaida tu, siyo kujiaminisha timu ni nzuri kumbe ni fluke tu.
  9. wadzelino

    Nina wasiwasi kwa Yanga kuchukua ubingwa

    Hakuna cha ajabu hapo, kama wao wamekaa misimu minne Bila ubingwa, yaani mtoto anaanza kidato cha kwanza mpaka cha nne timu haijanusa ubingwa, lazima wagawe bahasha ili wachukue, tunajua mbinu zao wanasiasa, lazima timu moja idhoofishwe ili moja iwe juu, "wao ndo wanashindana na Hawa na wala si...
  10. wadzelino

    Yanga SC imetufundisha Simba mahesabu Kila hatua kimataifa

    Msimalize maneno, "Hizi timu Zina Homa Za vipindi" kama mnavyojua wawekezeji wa mpira Bongo siyo wa kuaminika. In loosers group voice... Sent from my LDN-L21 using JamiiForums mobile app
  11. wadzelino

    Well done Simba. Ukikutana na kibonde mwenzako mpe nyingi bila kuremba

    Acha wivu, siyo kombe la loosers Hilo.
  12. wadzelino

    Jinsi Simba ilivyopata point sita inazotamba nazo

    We Vipers unamuweza? Anyway wenye akili huko ni Jk na Sm. Sent from my LDN-L21 using JamiiForums mobile app
  13. wadzelino

    Ni heri umkose mwanamke kuliko kumwambia unafanya kazi gani unapomtongoza

    Ningekuwa na hela mimi wangejuta, hata wajilengeshe sitongozi, nadhani ndo maana Sir God alininyima minotii.... Sent from my LDN-L21 using JamiiForums mobile app
  14. wadzelino

    Ni heri umkose mwanamke kuliko kumwambia unafanya kazi gani unapomtongoza

    Kweli kabisa,... being poor, is a curse Sent from my LDN-L21 using JamiiForums mobile app
  15. wadzelino

    Tusidanganyane hakuna mwanamke anaeweza kumvumilia aliyefulia

    "Mwanamke anaweza kukuunga mkono, ili akuvunje mguu" Sent from my LDN-L21 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom