Recent content by TheForgotten Genious

  1. TheForgotten Genious

    SoC04 Jeshi la Zimamoto na uokoaji lipatiwe vifaa vya kisasa ili kukabiliana na majanga ya moto katika misitu,maeneo yasiyo fikika na majengo marefu

    Linaitwa jeshi la uokoaji na zima moto,lina vikosi pia kama kikosi cha zima moto,kikosi cha uokoaji majanga asilia,kikosi cha uokoaji majini,tatizo hakuna usanifu kazi katika vikosi vyote,pia kuna uhaba wa watumishi kwa 60%,na hawana vifaa vya kisasa.
  2. TheForgotten Genious

    Baba yangu hakuniachia urithi lakini ndugu zangu wengine wamepewa wote, je nikijitenga na ile familia nakosea?

    Mwanangu wewe pambania vyako, mimi nilizaliwa peke yangu kwa baba yangu na alifariki ni kiwa na mwaka 1 tu,. Mzee alikuwa mfanyabiashara Malawi, Tz,na huko inasemekana alikuwa na vijimali ila alikuwa kivyake vyake Sana,. Alienda malawi, akarudi Home mgonjwa haongei...
  3. TheForgotten Genious

    Arsenal imekuwaje tena?

    Potelea pote,kwani mmebeba kikombe?
  4. TheForgotten Genious

    TRA punguzeni hekaheka zisizo na msingi kwa wafanya biashara, fanyeni integration ya mfumo wenu na wa NIDA ili mteja apate nambari ya NIDA papohapo

    Acha upimbi paka wewe ,kati ya hivyo ulivyo taja kipi ni upatikanaji wake ni rafiki zaidi ,hukujifunza faida za ufupisho wa maneno?,
  5. TheForgotten Genious

    SoC04 Jeshi la Zimamoto na uokoaji lipatiwe vifaa vya kisasa ili kukabiliana na majanga ya moto katika misitu,maeneo yasiyo fikika na majengo marefu

    UTANGULIZI. Majanga ya moto ni miongoni mwa majanga ambayo hayatabiriki na huleta athari kubwa sana katika jamii kama vile watu kupoteza maisha na mali,kwa Tanzania majanga mengi ya moto yamekuwa yakileta maafa makubwa kipindi yanapotokea hii nikutokana na sababu mbalimbali ikiwepo ukosefu wa...
  6. TheForgotten Genious

    TRA punguzeni hekaheka zisizo na msingi kwa wafanya biashara, fanyeni integration ya mfumo wenu na wa NIDA ili mteja apate nambari ya NIDA papohapo

    TRA sijui niseme wamekosa ubunifu ktk kutoa huduma zao au wapowapo tu kutumia nguvu ktk kutimiza majukumu yao? Ili uweze kupata nambari ya mlipa kodi TIN nilazima uwe na na kitambulisho cha NIDA,ambao nao wapowapo tu kama msumari nilazima wagongwe ndio waendee,mtu akienda kuomba TIN na hana...
  7. TheForgotten Genious

    Arsenal imekuwaje tena?

    Arsenal kikombe mnachoweza kubeba ni cha mbege sio EPL, OK kelele ziendelee tena, msimu ujao tena anzeni kwa mbio zilezile ,mwishoni kama kawa 😂😂😂
Back
Top Bottom