Recent content by TheChoji

  1. TheChoji

    Utafiti: Wanaume waliohasiwa wanaishi miaka mingi zaidi ya marijali

    Zikiondolewa mashine si bado inasimama kawaida?
  2. TheChoji

    Sina imani na safari ya mume wangu, naomba ushauri

    Mimi kuna siku nilimuuliza mke wangu "Unataka niache kazi nikae tu hapa nyumbani ili kila mda unione?" Manake ilikua ni kero kila saa unaulizwa uko wapi? Unarudi saa ngapi? Ukisema niko kazini unaambiwa rudi nyumbani hujui una familia? 🙄 Hizi ndoa bila kua bandidu mda mwingine utateseka bure.
  3. TheChoji

    Unashughulika vipi na watu wa aina hii....

    Hasa wanawake wana hiyo tabia sana. Utamsaidia mara 99, ukishindwa mara 1 tu zile 99 zinasahaulika unaonekana huna maana
  4. TheChoji

    Uzinzi/ Uasherati ni gharama!

    Mwisho wa binadamu wote ni mbaya (kifo) hata usipofanya chochote.
  5. TheChoji

    Body Count yako inasoma ngapi mpaka sasa?

    Mnajua kujipa moyo 😄
  6. TheChoji

    Body Count yako inasoma ngapi mpaka sasa?

    Unaoaje sasa huna uzoefu kabisa kijana utataabika sana 🙄
  7. TheChoji

    Body Count yako inasoma ngapi mpaka sasa?

    Halafu unaletewa mwenye 100+
  8. TheChoji

    Body Count yako inasoma ngapi mpaka sasa?

    Punguza uzembe dogo, at that age ulitakiwa uwe angalau na 50 😄
  9. TheChoji

    Msaada wa haraka unahitajika

    Nguo zenyewe zilikua zimeshachakaa zile fanya ununue nyingine tu..
  10. TheChoji

    Hii dawa ya kupunguza uzito inapatikana Tanzania?

    Kuna mambo hayana shortcut
  11. TheChoji

    KCMC: Ruksa kwa wanaume kuingia leba kushuhudia wenza wao wakijifungua

    Yes. Unajua kuna vitu hua tunafanya bila kuzingatia madhara yake ya kisaikolojia baadae. Unaweza ukawa una lengo la kupunguza ukatili, ukajikuta unamuathiri mtu kisaikolojia akashindwa hata kusimamisha akiiona hiyo papuchi. Sasa hapo sijui unakua umefanya nini..?
  12. TheChoji

    KCMC: Ruksa kwa wanaume kuingia leba kushuhudia wenza wao wakijifungua

    Exactly my point. Kuna vitu mtu hutakiwi kuona aisee unaweza pata kinyaa milele
  13. TheChoji

    KCMC: Ruksa kwa wanaume kuingia leba kushuhudia wenza wao wakijifungua

    Sidhani kama kuwaruhusu kuingia leba kutatimiza hili lengo. Labda kama kuna sababu nyingine
  14. TheChoji

    Zengwe lagubika ziara ya Rais na wasanii; waratibu wadaiwa kufanya mchezo mchafu

    Nchi yenyewe hii ya chama kimoja sijui hata hayo makampeni hua wanapiga ya kazi gani..?😐
Back
Top Bottom