Shida ni sisi wabongo kukubali kuburuzwa kila kitu na kina Karai, uwanja wa Sheikh Amri Abeid pitch ni mbaya mno inahitaji greda lisawazishe kisha zipandwe nyasi mpya au waweke carpet Arusha jiji zuri la wapenda soka wanashindwaje kuweka carpet , hata raia wakiambiwa na RC wachange pesa za...
Angekuwepo mwamba SGR Dar/Mwanza ingekuwa kazini mda huu na majizi ya milioni 19 Arusha yasingeiba.
He was the best president for me.
Huwa nikipita kamata naangalia kule juu treni inakopita ni ngumu kumchafua au kumdelete yule mzee, na ndege zake zinaruka na reli yake itakuwa mzigoni soon.
Watu wanakwiba kwa miaka 60 ya uhuru, hao wa Chuga wana bahati mbaya tu kukamatwa. Majizi ni mengi nchi hii ambayo wala hayakamatwi. Ripoti ya CAG si imejaa majizi mbona yanadunda tu. Hizi ni kiki tu za jombaa.
One difference that I noticed Ulaya vyuo vingi hakuna group presentation, mnadiscuss as group na kuandika individual paper na kupresent as an individual mbele ya darasa, unapigwa maswali hadi mbele huoni. Ukitoka hapo chuo umeiva everything you learn unaweza kuelezea kwa kichwa bila kushika...
Iwapo SGR itafika Mwanza na Kigoma, na mikoa isiyo na reli ikaunganishwa kwa reli na umeme ukawa haukatiki na ukawa wa kutosha kusupport viwanda nadhani mwaka 2030 ni mbali Tanzania itaipita Kenya kiuchumi kabla ya hapo.
For now hizo ni projections tu sio uhalisia. Kinachowaua Kenya ni...
Mkuu Mpira unachezwa hadharani, hiyo imani yako potofu ndo itafanya simba ikose nafasi ya pili na kuangukia kucheza shirikisho mwakani. Simba ni mbovu sote tunaona ikicheza hovyo , hata Prison walijipigia, kagera na kmc wakapata droo, Mechi nyingi simba imebebwa sana hadi aibu mf Singida big...
Kuna stori zingine huwa analeta za kweli maana hata saa mbovu hupatia, one day alimponda sana dogo mzee wa my wetu akiwa bado Azam kuwa dogo hafai uto hata kwa kulumangia wakati no one knew nothing, second day dogo akatangazwa semaji la uto nikabaki mdomo wazi, na dogo huyu huyu ametangaza...
Kuna taarifa zingine ni nyeti na za hatari sana zikivuja ni rahisi kumjua alievujisha, maana inategemea nani na nani wana access au codes, hapa Mkuu dawa ni kuuchuna tu mbumbumbu fc ibaki vile vile guvu moya nafasi ya tatu ligi kuu ikacheze ndondo cup mwakani na ndipo itaamka toka usingizini !
Goli lililokataliwa la Yanga dhidi ya Mamelodi litabaki kwenye kumbukumbu kama ukatili kwenye soka, goli kama lile walifunga Tabora United dhidi ya Simba na kunyongwa na mshika kibendera.
Ni muhimu kujikumbusha lile goli ili watu kufahamu kuwa Yanga ni klabu kubwa uwanjani kwasasa kwa...
Ahmed Ally si tatizo Simba. Jamaa ni mfano wa kuigwa kwa wanaojifunza kazi ya usemaji wa timu. Anajua haswa kuhamasisha mashabiki kujaa uwanjani.
Tatizo la Simba ni wachezaji kukosa philosophy , morali na kushindwa kucheza kwa fomesheni hivyo kupata matokeo mabovu.
benchi la ufundi Simba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.