game 5 mavs vs wolves kyrie irving alimaliza kwa kufunga 36 points .
kufikisha 36 points kwenye mechi ambayo haijaenda hata overtime, ndio kushikwa?
wolves hakuna mchezaji hata mmoja aliyefikisha 36 points.
ila kyrie alifikisha kwenye game 5
Ameongelea bad day ya kyrie irving kama ya leo haitaweza kutokea kila siku.
Its impossible kwa kyrie irving kufunga point chache kama point 16 kama alizofunga leo kwenye mechi zote 4 mfulizo. Lazima kuna mechi atawaka kama kawaida yake Na hiyo ndio itaclose series. Maana mechi moja tu mavs...
Non muslims ni watu poa sana.
Haya tuwekee ya wakristo wakiwa wanasali kwenye nchi za kiislamu halafu waislamu wanawalinda wasali salama ibada yao ya kikristo.
Siku ya jana Kanisa la wasabato mafia limebomolewa na kimbunga cha hidaya
Siku ya jana pia mvua zimebomoa msikiti saudi arabia
Binafsi najiuliza Mungu mwenye nguvu mbona hazilindi nyumba zake za ibada.
Maana ninaamini yeye ni Muweza wa yote na mjuzi wa yote hata mvua na vimbunga...
Hivi sifa ya timu bora ni kumfunga Al ahly tu ?
Mbona makombe ya ligi ya mabingwa africa mamelodi huwa habebi ?
Timu zinazoshiriki ligi ya mabingwa kila msimu ni zaidi ya 50. Why timu isifiwe kwamba ni bora kwa mfano huo huo kuifunga timu moja tu Al ahly
Mimi sijadanganya.
Official Website ya Mamelodi sundowns inasema timu yao imeanzishwa miaka ya mwanzoni ya 1960s.
Mimi sijadanganya. Wewe ndio muongo unaesema mamelodi imeanzishwa mwaka 1996
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.