kwani unapima kupitia jinsia au nafasi/hadhi yake?
mkapa aliipokea nchi kutoka kwa mwinyi kukiwa na wasomi wachache,viwanda vingi vimetelekezwa,na barabara mbovu.n.k
namba 1,4 na 10 hapana,
diamond aingie anamuwakilisha kanumba kwenye tasnia ya burudani,mapinduzi ya media kafanya bakhresa group huyo mwengine hayupo,politics ya ubepari /uwekezaji ni mkapa huyo kikwete na samia wote waomba misaada nje.
Tunafahamu kuwa miaka 3 nyuma vyama vya upinzani havikupewa jukwaa stahiki la kuendeleza biashara/kazi na majukumu yao ili kuongeza tija na hamasa ya kupendwa zaidi,na kuvutia wanachama ilikuwa ni inactive political parties,havikuweza kuwa na uwakilishi wa kutosha katika bunge na hata katika...
kulawitiana ni suala sensitivity mno na kuna sababu nyingi za kiuchumi,kijamii na hata kisiasa zinaathiri mwenendo wa tabia za watu.
tujitahidi kuwa na misimamo na wazazi wawafatilie watoto wao.
Kwahiyo mh Rais naye angekuwa anatatua kero bila tv ingekuwaje?
kufanya mikutano ya hadhara kwanza.
kuibrand CCM na RC Mwenyewe.
Kuweka au kuonyesha uwajibikaji na uwazi.
Kuonesha kero na kuwapa matumaini wananchi
Ni namna nzuri ya kutumia rasilimali na teknolojia(hao wengine rushwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.