Nadhani ni kuruhusu katiba ya KKKT kuvunjwa pale alipiruhusu mtu aliyekua mkuu wa kanisa kwa miaka nane kurudi kwenye uongozi Tena. Nijuavyo (correct me if I am wrong) mtu anaruhusiwa kuwa kiongozi mkuu wa KKKT kwa maximum ya miaka nane. Sasa Malasusa hiki Ni kipindi Cha tatu Cha miaka minne...
Akiolewa na muislamu atafundishwa uchawi wa majini. Kwaivo mtakua na ndugu mchawi.
Ila Kama kakubali kwenda uchawini kwa Abduli (nadhani sio yule Abdul) mwacheni akayaone mwenyewe.
We acha tu CCM waendelee kuiba na kusinzia.
Watakuja kukumbuka shuka kumekucha.
Bashir alitamba kabisa kwamba hawawezi kuachia Dola. Kufumba na kufumbua Dola imeshikwa na wengine.
Nyerere na Mkapa ndio Marais ambao hawakujitia doa la kuweka wenzi wao au watoto wao kwenye serikali.
Duh baada ya hapo, kila mtoto wa mkubwa, awe wa kusingiziwa au wakufikia anataka naye awe mtawala, mheshimiwa, kiongozi, mkuu, mbunge, waziri, mkurugenzi.
Sasa Basi wawe na maadili, maadili...
Tanzania tuko milioni sitini na nne huko lakini hakuna watu wenye akili, kila kitu tunalipa tàifa lenye watu milioni mbili.
Hivi Dubai Wana vyuo vikuu vingapi? Wana maprofesa wangapi? Wana mitaji ya sh ngapi ambayo Tanzania hatuna?
Tukiuza kila kitu wajukuu zetu watarithi Nini kwenye nchi Yao...
Kumbe Ni wewe mwenyewe!
Kwanza kabisa elewa kwamba wewe Ni mchafu. Mivuzi yote hiyo mpaka kwenye tigo huoni kwamba ndio chanzo.
Mivuzi hiyo ukiingia gesti za Mbagala zile za buku 5 choo mumo kwa mumo utaacha kuchukua mbegu za maradhi?
Huna personal hygiene kijana. Nyoa mavuzi halafu lete mrejesho.
Wengi wanadhani kondom Ni Kinga tosha. Ukweli Ni kwamba sio kweli. Malaya wengi Wana magonjwa ya ngozi hasa katikati ya mapaja na makalioni. Sasa wewe unapomla kwa style ya chuma mboga kwenye chocho au kwa Babu ujue unaondoka na ukurutu na upele usiotibika.
Lakini magodoro na shuka kwenye gesti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.